Morrison Ajifungia / Beki Mtanzania Ashindwa Kumzika Kaka Yake – Video

 

KATIKA kipindi cha ‘SOKA CHAP CHAP’ mchambuzi wa soka, Saleh Jembe, amechambua kuhusiana na ugonjwa wa virusi vya Corona jinsi unavyoathiri soka katika nchi mbalimbali ambapo msakata kabumbu wa Klabu ya Yanga, Benard Morrison, ameamua kujifungia ndani na kufanya mazoezi yake mwenyewe.

 

Toa comment