The House of Favourite Newspapers

MPAKA HOME: Haya Ndo’ Maisha Halisi ya Mwinjaku – Video

GOOD NEWS: Kwa watazamaji wa Global TV na wapenzi wa kipindi cha ‘MPAKA HOME’, msimu wa kwanza wa kipindi hichi umemalizika na kwa sasa msimu wa pili umeanza upya na utakuwa ukikuletea maisha halisi wanayoishi mastaa wetu wa Bongo kutoka katika tasnia mbalimbali.

 

Msimu wa pili wa ‘MPAKA HOME’ umefunguliwa na muigizaji, Mwinjaku, aliyejipatia umaarufu mkubwa kupitia tamthiliya ya Mahusiano, ambaye makazi yake rasmi yapo Tegeta Nyuki jijini Dar es Salaam na kutupia jicho kila kilichomo kwenye nyumba yake.

 

Usiache kufuatilia msimu mpya wa ‘MPAKA HOME’ kila itakapofika Jumatatu saa tano kamili asubuhi. Na pia Tunasema asante kwa kuendelea kutufuatilia na kuwa mdau mkubwa wa Global TV, hakika mchango wako ni mkubwa sana na tunauthamini kwani siku zote ndio unaotuwezesha kuwa namba moja.

VIDEO: SHUHUDIA MAISHA YA MWIJAKU

Comments are closed.