MPAKA HOME: Maisha Halisi ya Mtoto Mai Zumo na Wazazi Wake – VIDEO

Katika kipindi cha Mpaka Home wiki hii tumemtembelea Muigizaji wa vichekesho ambaye ana trend sana kwa sasa Uncle Zumo ambaye ni baba mzazi wa mtoto mai ambaye nae ni tishio mjini kwa kuchekesha licha ya kuwa na umri mdogo.

Uncle Zumo na mkewe na mtoto wao Mai wanaishi maeneo ya Tabata Segerea na kupitia kipindi hiki cha Mpaka Home wamezungumzia mambo mbalimbali yanayowahusu ikiwemo kazi zao na maisha yao kiujumla.

Toa comment