The House of Favourite Newspapers

Mrisho Mpoto Amtolea Uvivu Mwijaku

0
“Mwijaku-Mwijaku-Mwijaku Nimekuita Mara tatu nakujua vizuri sana na najua unafahamu vizuri mno umekuwa Manager wangu kwa muda mrefu. Najua page nyingi za watu mashuhuri zinaendeshwa na watu nikuombe chukua page yako na endesha mwenyewe.
“Unachokifanya kwa Tuzo BET kwa ndugu yako mnaetoka kumoja na ni Mtanzania mwenzetu siyo sawa, kuna leo na Kesho hii ni kukosa UZALENDO na UTAIFA Ikitoea ukafanikiwa dhamira yako Utakuwa umetukosea sana wa Tanzania, nikuombe tu Aidha uache au rudi nyumbani kumenoga. @mwijaku,” ameandika Mrisho Mpoto kupitia akauntui yake ya Facebook.
Leave A Reply