The House of Favourite Newspapers

Carina Kufanyiwa Upasuaji Tena Hospitali ya Bungando, Apata uvimbe Kwenye Figo

0

Msanii wa Bongo Muvi, Carolinahawa ‘Carina’ amegundulika tena kwa mara nyingine kuwa ana uvimbe kwenye figo ambao umenaonekana hata kwa nje kitu ambacho kinamfanya kushindwa kulala usiku na kulia wakati wote hivyo anahitajika upasuaji wa haraka kwa mara ya 23, ambapo Carina amelazwa hospitali ya Bungando.

Hali iliyopelekea mpaka kufika katika hatua hiyo ni baada ya maumivu makali sana na uvimbe uliojitokeza mpaka nje ya tumbo,hivyo kuhitajika upasuaji wa haraka ambapo itakuwa jumla ya operesheni 23 ndani ya tumbo lake.

Kama utapenda kumsaidia Carina namba za kumchangia hizi hapa chini.

0769990045 M-PESA Carolinhawa Hussein Ebrahim bounin

0789095858
Fatuma Maruzuku

Akaunti: 0152591586500 (Carolinhawa Hussein)

Leave A Reply