Mshangao! Mke Amuua Mumewe Wa Ndoa, “Alimpiga Na Kitu Kizito Kichwani”-Video

Tukio lisilo la kawaida limetokea mkoani Dodoma baada ya mwanamke aliyefahamika kama Khadija Salumu kudaiwa Kumuua mumewe kwa kumpiga na kitu kizito kichwani na sehemu mbalimbali ya mwili wake. Waandishi wetu Richard Bukosi na Issa Mnali wamefunga safari mpaka Mkuranga mkoani Pwani mahali alipozikwa marehemu ambaye enzi za uhai wake alikuwa ni dereva wa mabasi ya abiria yaendayo mikoani. Na hii ni GLOBAL TV…ENDELEA

4232
SWALI LA LEO
YANGA/SIMBA KIMATAIFA
Baada ya usajili wa nguvu, mechi za Siku ya Wananchi na Simba Day kisha mechi ya ufunguzi wa Ligi Kuu ya Ngao ya Hisani, je, ni timu gani unaamini itafanya vizuri kimataifa?Toa comment