The House of Favourite Newspapers

Mshindi wa Simu kutoka Chota Mapene Akabidhiwa Zawadi yake

0

Ernest Moshiro kutoka Same Kilimanjaro ni miongoni mwa walio pata bahati ya kujishindia zawadi kutoka chota mapene ameendoka na simu mpya aina ya TECNO CAMMON 20 toleo jipya.CHOTA MAPENE ndiyo mchongo mpya town! Kwa shilingi 1,000 tu, yaani BUKU unajichotea mapene kibao au kupata nafasi ya kujishindia TECNO CAMON 20 mpyaaa!

 

Ingia kwenye simu yako📲, sehemu ya kufanyia malipo, andika namba ya kampuni 553111, kumbukumbu namba 255 au andika neno GLOBAL.

 

Weka kiasi cha shilingi 1,000, weka namba yako ya siri, thibitisha na tuma.👍 Unaweza kuchota mapene 💷💰 na zawadi nyingine kibao KILA WIKI ikiwemo simu toleo jipya la TECHNO CAMON 20!📱Fuatilia kila siku GLOBAL TV, GLOBAL RADIO na Mitandao ya kijamii!

 

Vigezo na masharti kuzingatiwa!🤝👍💰

Leave A Reply