The House of Favourite Newspapers

Rais Samia Atinga na Kombati ya Jeshi kwenye Maadhimisho ya Miaka 60 ya JKT- Video

0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hii leo ametinga na mavazi ya kijeshi alipokuwa akiwasili kwenye maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT ) yaliyofanyika mkoani Dodoma.

Leave A Reply