The House of Favourite Newspapers

Mshindi wa Tatu Mzuka Apatikana, Anyakuwa Milion 55

0
Mratibu wa Tatu mzuka, Sebastiani Maganga akiongea na wana habari katika hoteli ya Casa iliyopo Mikocheni jijini Dar. Kulia ni mshindi wa Tatu Mzuka aliyejishindia milioni 55, Juma Omary.
Mshindi wa Tatu Mzuka, Juma Omary akionyesha mfano wa hundi ya milioni 55 aliyejishindia.

Siku ya jana Mratibu wa shindano la Tatu Mzuka, Sebastiani Maganga amemtangaza, Juma Omary mshindi wa droo hiyo inayoendelea baada ya kujishindia milioni 55,00,000/-

PICHA: IMELDA MTEMA | GLOBAL PUBLISHERS

Leave A Reply