The House of Favourite Newspapers

Msomi wa Chuo Kikuu Anayefuga Panya Weupe “Nina Panya 400”

0

KIJANA Juma Selemani ambaye ameamua kuwa mbunifu katika njia ya kujiajiri na kuanza kufuga Panya Weupe ambao hawapatikani kirahisi katika Bara la Afrika amepiga Stori na Global TV Online na kueleza changamoto na faida za ufugaji huo.

Leave A Reply