The House of Favourite Newspapers

Mtangazaji Hassan Wiboneya ‘Dee Seven’ Afariki Dunia

0

Mtangazaji mahiri aliyejipatia umaarufu mkubwa akiwa katika Kituo cha Redio cha Kiss FM cha jijini Mwanza, akitangaza kipindi cha African Beats, Hassan Wiboneya almaarufu Dee Seven, amefariki dunia.

Taarifa za kifo cha mtangazaji huyo nguli na mdau mkubwa wa muziki wa Hip Hop na Bongo Fleva, zimethibitishwa na watu wake wa karibu, akiwemo Filbert Kabago.

Leave A Reply