The House of Favourite Newspapers

Mtoto wa Saida Karoli Tabu Tupu, Tazama Anavyopagawisha Wanaume – Video

0

MTOTO wa nyoka sio jongoo ni nyoka vilevile! Unaambiwa kwamba, mtoto wa mwanamuziki Nguli wa nchini, Saida Karoli amewaacha watu midomo wazi, Tarime mkoani Mara na hakuna aliyeamini kama msanii huyo amezaa mtoto pia mwenye kipaji kikubwa cha kucheza.

 

Binti huyo amepiga stori na Global Tv Online na kusimulia mambo mbalimbali aliyokutana nayo kwenye harakati zake za muziki na maisha kwa ujumla huku akiweka wazi kuwa, ameamua ameacha shule kwa ajili ya kudansi… tayari @globaltvonline imekuwekea full interview.

 

Leave A Reply