The House of Favourite Newspapers

Mtu Mmoja Afariki na Wengine Saba Kujeruhiwa Mlimba, Morogoro – Video

0

Mtu mmoja amefariki na wengine saba kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari la abiria aina ya Tata yenye namba za usajili T 596 EAF linayofanya safari zake Morogoro – Mlimba kugongana uso Kwa uso na bajaji iliyokuwa inatokea Mindu kuelekea Morogoro Mjini.

Kwa mujibu wa Majeruhi wa ajili wamesema ajali imetokea majira ya saa moja asubuhi huku chanzo kikiwa ni uzembe wa dereva wa basi la abiria kutaka kuyapita magari mengine bila kuchukua tahadhari na kuigonga bajaji hiyo kisha kupelekea kifo cha mtu mmoja.

Daktari Kutoka kitengo Cha dharura hospitali ya Rufaa Mkoa Morogoro Joseph Kwai, amekiri kupokea mwili wa marehemu ambaye ni mwanamke aliyekuwa abiria wa bajaji .

 

 

View this post on Instagram

 

A post shared by globalpublishers (@globaltvonline)

Leave A Reply