The House of Favourite Newspapers

Muonekano Mpya wa Jiji la Makonda

0

DAR (2)

DAR (3)

DAR (4)

DAR (5)

DAR (1)

DAR (6)

DAR (7)

DAR (8)

DAR (9)

DAR (10)

DAR (11)

DAR (12)

DAR (13) DAR (14) DAR (15) DAR (16)

17

18Mnara wa Askari, Posta.

Dar es Salam,

Kamera yetu leo imenasa muonekano mpya wa baadhi ya barabara za Jiji la Dar es Salaam zikiwa na nakshi za bomba na minyororo iliyopakwa rangi ya bendera ya taifa kuonyesha uzalendo. Baadhi ya barabara zilizo na nakshi hizo ni Bibi Titi, Posta, Bagamoyo na zinginezo.

Taswira hiyo imepongezwa na baadhi ya wakazi wa jiji hilo huku wakimwaga sifa zao kwa Mkuu wa Mkoa, Paul Makonda na wakuu wake wa Wilaya kwa kuweka mikakati inayotekelezeka sambamba na kufanya juhudi ya kuhimiza na kusimamia usafi wa mazingira kwawakazi wa jiji hilo.

NA MPIGA PICHA WETU.

Leave A Reply