The House of Favourite Newspapers

Mwanaheri Niacheni Na Funga Yangu

0
Msanii wa Filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed

Stori: Mayasa Mariwata, Amani, Tatu Tamu

MSANII wa filamu Bongo, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa, anawashangaa watu wanaodhani kuwa katika kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu ataendelea kuishi maisha yake ya siku zote kwa kufanya mambo yasiyompendeza Mungu, jambo ambalo halina ukweli.

Akipiga stori na 3 Tamu, alisema anachukizwa na watu ambao wanamjaji kuwa ameshindwa kujikita kwenye ibada na badala yake amekuwa kiguu na njia kwenye starehe, kuvaa nguo zisizo na maadili.

“Watu wanafiki sana, mimi mwenyewe najua kuwa mwezi huu ni mfungo, sasa nashangaa watu wanaotaka kujifanya wananijua zaidi. Nazingatia mfungo, waniache na funga yangu,” alisema Mwanaher

 

Leave A Reply