The House of Favourite Newspapers

Mwanamuziki Nguli Afariki kwa Corona

0

MWANAMUZIKI na mpiga saxophone maarufu kutoka nchini Cameroon, Emmanuel N’Djoke Dibango,  amefariki dunia leo Jumanne, Machi 24, 2020, asubuhi akiwa jijini Paris baada ya kupata maambukizi ya virusi vya Corona #COVID_19.

 

Dibango aliyefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86,  atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi ukiwemo uliokuwa maarufu wa Soul Makossa ulioutoa mwaka 1972.

Leave A Reply