The House of Favourite Newspapers

MWIJAKU – “Kinachomponza DIAMOND Uroho / Hatomuoa Tanasha” – VIDEO

MUIGIZAJI wa filamu nchini, Mwijaku, ameendelea kumchapa kwa maneno Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, kuwa kamwe hataweza kumuoa Mchumba wake wa sasa Tanasha Kutoka Kenya licha ya kwamba wiki iliyopita amemtambulisha kwa wazazi wake.

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.