The House of Favourite Newspapers

Mbalamwezi wa The Mafik Azikwa Dar -Video

MWILI wa aliyekuwa msanii wa Kundi la The Mafik, Abdallah Yusufu Matimbwa ‘Mbalamwezi’, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana, umetolewa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kupelekwa nyumbani kwao Tandika, jijini Dar es Salaam kwa ajili ya maziko.

Video ya chini inaonyesha waombolezaji wakielekea makaburini kwa ajili ya maziko.

Comments are closed.