The House of Favourite Newspapers

Ajali ya Morogoro: Mwingine Mmoja Afariki Muhimbili – Video

IDADI ya vifo kutokana n ajali ya lori la mafuta lililopinduka na kuwaka moto mkoani Morogoro, imeongezeka na kufikia 94 baada ya majeruhi mwingine mmoja kufariki wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam.

Taarifa hiyo imetolewa na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano  wa MNH, Aminiel Aligaesha, imesema idadi ya majeruhi wanaopatiwa matibabu sasa ni 20.

Comments are closed.