The House of Favourite Newspapers

Nabii GeorDavie amuunga mkono Rais Samia

0

Ofisa Elimu Sekondari wa Wilaya ya Monduli Mwalimu Magreth Muro, kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halimashauri ya Monduli amekabidhiwa na Mtume Sekela Ntondolo Balozi wa Nabii Mkuu, Dr. GeorDavie kiasi cha Sh 5,000,000 kwa ajili ya kuchangia Vitanda vya Shule ya Sekondari Lepurko Wilayani Monduli iliyojengwa kwa fedha za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan.

Mwalimu Muro amempongeza Nabii Mkuu kwa moyo wake wa kujitolea kwenye jamii na kuwajali watoto wa Monduli.

Leave A Reply