The House of Favourite Newspapers

Naibu Waziri, Jafo Afunga Rasmi Mkutano wa Kitaifa wa Uhamasishaji wa Lishe

Naibu Waziri Seleman Jafo, amefunga rasmi mkutano wa kitaifa wa Uhamasishaji wa Urutubishaji Chakula nchini, uliokuwa ukifanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere, Posta jijini Dar es Salaam.

Mkutano huo wa siku mbili, ulifunguliwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan.

Comments are closed.