The House of Favourite Newspapers

Naibu Waziri Shonza Apata Mtoto

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Juliana Shonza amejifungua mtoto wa kike juzi Jumapili, Augosti 19, 2018. 

Uongozi na wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers tunampa pongezi Mhe. Shonza kwa kupata mtoto.

Mwenyezi Mungu amjalie afya njema.

Comments are closed.