The House of Favourite Newspapers

Nafasi ya kazi 10 National Audit Office (NAOT), Mkaguzi wa Daraja la II

0

POST MKAGUZI WA DARAJA LA II – 10 POST
POST CATEGORY(S) ACCOUNTING AND AUDITING
EMPLOYER NATIONAL AUDIT OFFICE (NAOT)
APPLICATION TIMELINE: 2021-05-21 2021-06-03
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. Kukagua nyaraka za matumizi, maendeleo, amana, wakala, mifuko, miradi maalum na mapato ya Serikali;

ii. Kushiriki kuandaa na kusimamia utekelezaji wa mpango wa kazi wa ukaguzi kila mwaka;

iii. Kushiriki kufanya tathmini ya mpango wa kazi na kupendekeza mabadiliko inapobidi kulingana na tathmini ya taarifa ya utekelezaji ya mpango wa kazi;

iv. Kuhakikisha kuwa hoja na barua za ukaguzi zinatolewa na kushughulikiwa kwa wakati unaotakiwa;

V. Kushiriki kutayarisha na kutekeleza mpango wa ukaguzi (Audit Programme;

VI. Kushiriki kupanga na kuratibu mpango wa kazi za ukaguzi;

VII. Kutayarisha hoja na barua za ukaguzi; na

VIII. Kutunza daftari za kumbukumbu mbalimbali za hesabu katika kituo chake kwa maelekezo ya kiongozi mahali pa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
  • Wahitimu wa Shahada ya Biashara/Sanaa yenye mwelekeo wa uhasibu au Stashahada ya juu ya Uhasibu (Advanced Diploma in Accounting) kutoka vyuo au taasisi yoyote inayotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGS D

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply