The House of Favourite Newspapers

TANZIA: Waziri Afariki Dunia Zanzibar

TANZIA: Aliyewahi kuwa Waziri wa Michezo na Naibu Waziri Kiongozi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Ali Juma Shamhuna amefariki dunia usiku wa kuamkia leo visiwani humo.

 

Shamhuna alikuwa ni mtu wa karibu wa marehemu Ali Fereji Tamim (Rais wa zamani wa Chama cha Soka cha Zanzibar – ZFA), na wote wamefariki siku moja.

MSIKIE SPIKA NDUGAI AKITOA TAARIFA YA BUNGE KUHUSU MSIBA HUO

Comments are closed.