The House of Favourite Newspapers

Ndinga ya Championi, Spoti Xtra Yatikisa Tegeta, Boko & Bunju

0
Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam (kushoto) akiwaonyesha wasomaji namna ya kujaza kuponi za promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

PROMOSHENI ya Bahati Nasibu iliyopewa jina la Chomoka na Gari Mpya, likiwa ndo kwanza kabisa bichi wakazi wa maeneo ya Boko Basiaya, Tegeta, Bunju na maeneo mengine ya jiji la Dar es Salaam wameendelea kujinyakulia gazeti la Championi na kujaza kuponi zinazopatikana ndani ya gazeti hilo.

 

Msomaji akinunua Gazeti la Championi ili ashiriki bahati nasibu ya kushinda ndinga mpya wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

Bahati nasibu hiyo inaendeshwa na Kampuni ya Global Publishers kupitia gazeti lake la michezo na burudani kwa lengo la kurudisha fadhila kwa wasomaji wake ambapo zawadi ndogondogo kabla ya droo kubwa hutolewa kila maofisa masoko wa Global Publishers wanapopita na kuchezesha droo  na droo kubwa kupitia gazeti hilo la mshindi atajinyakulia ndinga mpya aina ya FunCargo.

  

Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam (wa tatu kutoka kulia) akiwaelekeza wasomaji namna ya kujaza kuponi za promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

Mbali na mshindi wa jumla kubeba ndinga, wasomaji wengine kila wiki watakuwa wanajinyakulia simu mpya za kijanja, Smart Kitochi, ambazo ndani yake kutakuwa na bando la bure na APP ya +255 Global Radio.

 

Msomaji akiweka kuponi kwenye chombo maalum baada ya kununua Gazeti la Championi wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

Timu ya masoko ya Championi imezunguka katika mitaa mbalimbali kuinadi bahati nasibu hiyo huku zawadi mbalimbali za tisheti zikitolewa kwa wananchi waliojitokeza kuipokea habati nasibu hiyo ambao wengi wao wameonesha kujaza kuponi kwa wingi ili waingie katika droo kubwa. 

 

Wasomaji wakijaza kuponi za promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra ili washiriki bahati nasibu ya kushinda gari mpya.

 

Mkuu wa Idara ya Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam,  amesema kuwa bahati nasibu hiyo inahusisha mikoa yote ya Tanzania na hivyo nijukumu la kila msomaji wa Championi kujinyakulia gazeti hilo ili aweze kuwa miongoni mwa watakaojinyakulia ndinga hiyo.

Msomaji akijaza kuponi ya promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra ili washiriki bahati nasibu ya kushinda gari mpya.

 

“Tunahitaji wasomaji wetu waweze kujikwamua kiuchumi, hivyo watu wanunue zaidi Gazeti la Championi waweze kujishindia. Championi linatoka Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumamosi na linapatikana kwa Sh 800 tu,” amesema Antony.

 

Msomaji akiweka kuponi kwenye chombo maalum baada ya kununua Gazeti la Championi wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

JINSI YA KUSHIRIKI

Nunua Gazeti la Championi kisha fungua ukurasa wa pili ambapo utakutana na kuponi yenye maelekezo ya kushiriki bahati nasibu hiyo. Jaza kuponi kama maelekezo yalivyo.

Wasomaji wakinunua Championi, kujaza kuponi na kuziweka kwenye chombo maalum wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

JINSI YA KUTUMA:

Mpe kuponi yako muuza magazeti aliye karibu nawe popote ulipo, au peleka kwenye Ofisi za Global Publishers zilizopo Sinza Mori, Dar, au tuma kwa njia ya barua, Jishindie Gari, Global Publishers, S.L.P 7534, Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi, piga simu no: 0717 020792 au 0672 324759.

 

Msomaji akiweka kuponi kwenye chombo maalum baada ya kununua Gazeti la Championi wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

MASHARTI YA KUSHIRIKI:

Wafanyakazi wa Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd na watoto chini ya miaka 18 hawaruhusiwi kushiriki bahati nasibu hii.

Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam akisoma jina la mshindi wa zawadi ndogo ya tisheti wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

Kuponi zitumwe kutoka nakala halisi ya gazeti, vivuli (fotokopi) haviruhusiwi. Mtu anaruhusiwa kutuma kuponi nyingi kadiri awezavyo ili ajiongezee nafasi ya kushinda. Kuponi zote zitachezeshwa kwenye droo ya awamu ya kwanza, ya pili na ya tatu.

Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam akimkabidhi mshindi zawadi ya tisheti wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam akimkabidhi mshindi zawadi ya tisheti wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

 

Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam akimwelekeza msomaji namna ya kujaza kuponi na kushiriki promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam katika picha ya pamoja na wasomaji wa Championi pamoja na washindi wa zawadi ndogo za promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

Msomaji akiperuzi Gazeti namba moja la michezo nchini, Championi  wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 

Mkuu wa Idara ya Masoko na Usambazaji wa Global Publishers, Anthony Adam akimkabidhi mshindi zawadi ya tisheti wakati wa promosheni ya Baba Lao inayoendeshwa na magazeti ya Championi na Spoti Xtra.

 NA DENIS MTIMA | GPL

Leave A Reply