The House of Favourite Newspapers

Nelly Muosha Magari Wa Posta-13

0

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale mhudumu alipofika katika meza waliyokaa Nelly na Atu kisha kutikisa chupa zilizokuwa na kilevi na kubaini kilibaki kidogo ndipo alimuuliza Nelly kama awaongeze, kijana huyo akamwambia alete mbili kwa kila mmoja na ziwe za moto kama za mwanzo.

Je, nini kilifuatia?

SONGA MBELE NA UTAMU HUU…

Yule mrembo aliposikia Nelly kaagiza aletewe bia nyingine mbili na kwa vile alikaa muda mrefu bila kupata ‘gambe’, akafurahi na kujisemea moyoni akimaliza kinywaji alichoagiza asingeendelea.
Bia zilipoletwa wakaendelea kula na kukata maji, kwa kuwa mlo walioagiza ulikuwa tofauti, kila mmoja akawa anachanganya, Nelly akichukua kipande cha ulimi, yule mrembo naye akawa ananyofoa mnofu wa kuku, ikawa burudani ya aina yake.

Walipomaliza kula, wakaendelea kukata maji ndipo bia za moto walizokuwa wakinywa zikaanza kupanda kichwani kwani mrembo akaongeza spidi ya maongezi na kuchekacheka hata kama Nelly hakuongea ishu ya kuchekesha.
“Yap! Chezea bia wewe, hivyo ndivyo nilikuwa nataka lazima ulipe fadhila za mfadhiliwa, mimi ndiyo Nelson a.k.a Nelly,” Nelly alijisemea moyoni.

Kijana huyo alipobaini mrembo maji yameanza kuchanganya kichwani alimuomba asogeze kiti chake karibu yake kwani alitaka kumwambia jambo f’lani.

“Wewe si uniambie tu jamani hilo jambo kwani mpaka tusogeleane?” msichana huyo aliyeitwa Atuganile aliyependa kukatisha jina lake na kujiita Atu alimwambia Nelly kwa sauti iliyozidiwa kwa kilevi.
“Kwani Atu kuna tatizo gani ukisogea hebu sogea bwana,” Nelly alimwambia msichana huyo mwenye shepu f’lani hivi ya kiuchozi.

Atu alipoambiwa hivyo akasema isiwe tabu akasogeza kiti chake na kukigusanisha na cha Nelly ndipo Nelly akampiga kibao cha mahaba shavuni ambacho kilimfurahisha Atu.
“Ila wewe unajua ni mchokozi sana, sawa tu!” Atu alimwambia Nelly.

“Mimi wala siyo mchokozi ila ukitaka nikuchokoze nitakuchokoza, unaniruhusu?” Nelly alimuuliza Atu.
“Hebu nichokoze niuone huo uchokozi wako,” Atu alimwambia Nelly na kuanza kucheka.
Nelly aliyekuwa amebanwa na haja ndogo aliinuka na kumwambia ngoja akajisaidie kwanza akitoka huko ndiyo atajua uchokozi wake, akaenda uani.

“Hana ujanja, ngoja nifanye fasta asije akatokea mtu akaenda kumsomesha nawaelewa sana wanaume wakware wa hili jiji,” Nelly aliwaza.Baada ya kumaliza kupunguza maji, alirejea walipokuwa wameketi na kusimama nyuma ya Atu aliyekuwa na kifua kilichobeba viembe bolibo vitamu sana, si akamwinamia mabegani na kuingiza mkono wake wa kulia ndani ya kitopu alichovaa Atu na kuishika embe bolibo ya kulia.

Kutokana na embe hiyo kuwa ya moto, Atu alipata raha sana na kwa upande wa Nelly ilikuwa hivyo, kijana wa Kisukuma alilitumia vyema giza lililokuwepo kuichezea embe hiyo hasa ncha yake, Atu akaanza kutoa mhemko wa raha!

Nelly alipogundua mashetani ya Atu yalikuwa eneo hilo, akaingiza mikono yake kifuani, akaanza kuzishika embe zote kwa pamoja na kuanza kuzipekecha, hapo ndipo mdada wa watu akaanza kuachia mayowe f’lani hivi yalioashiria alikuwa anahisi raha kuliko kawaida!

Kufuatia mihemko hiyo, Nelly aligundua kwamba mashetani ya dada huyo yalikuwa jirani hivyo kama angeendelea kumpagawisha, angeweza hata kuangua kilio na watu kupigwa butwaa!

Alichokifanya kijana huyo sharobaro, alichomoa mikono yake kifuani kwa Atu ambaye licha ya kuwepo kigiza Nelly aliweza kuyaona macho yake yalivyokuwa yamelege na kwenda kukaa kwenye siti yake.
Baada ya kukaa aliupitisha mkono wa kushoto maungoni mwa Atu na kumpa pole kwa alichomfanyia ndipo msichana huyo akamwambia muda ule alikuwa yupo katika hali mbaya.
“Hali mbaya kivipi?” Nelly alimuuliza swali la kizushi.

“Eti unaniuliza hali mbaya kivipi, kwani ulikuwa unafanyaje na kifua changu?” Atu alimuuliza.
Kufuatia dada huyo kutoa kauli hiyo, Nelly naye alimwambia hata yeye alikuwa katika wakati mgumu ndipo aliuchukua mkono wa Atu na kuupeleka kwenye makazi ya ‘mkuu wa kaya’.

Mtoto wa kike alipomgusa mkuu huyo wa kaya, akapatwa na hali ambayo nashindwa kuilezea kwani alipitisha muda mrefu bila ya kukutana naye, akaishia kusema: “Jamani wewe mbona mtundu namna hiyo!”
Nelly alipogundua kwamba hata kwa namna gani kwa hatua aliyofikia Atu asingeweza kumchomolea kama angehitaji mkomboti, alimuaga kwamba anakwenda msalani na kwenda moja kwa moja upande uliokuwa na vyumba a.k.a machinjio ambako alilipia rumu.

Baada ya kufanya hivyo alimfuata Atu na kumuomba msamaha kwamba wahamie eneo la ndani ambalo lilikuwa tulivu kwa wao kufanyiana chochote kuliko pale walipokuwa wamekaa.

Kutokana na pombe kumpanda kichwani, kujumlisha na namna ambavyo mwili ulikuwa umemchemka kihisia, dada wa watu hakubisha, alinyanyuka na kumfuata nyuma Nelly kama mwanakondoo aliyekuwa akipelekwa malishoni.

Leave A Reply