The House of Favourite Newspapers

Nelly Muosha Magari wa Posta-20

0

Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale sharobaro Nelly apomuuliza Doreen, Anne alikwenda wapi ndipo msichana huyo alimfahamisha kwamba licha ya Anne kuwa ni msichana wa kazi, baba yake alimpeleka chuo cha kompyuta na pale nyumbani alibaki peke yake. Je, kilifuatia nini? Songa mbele na utamu huu…

“Da! Kumbe baba yako ana roho nzuri sana, anamsomesha hata hausigeli?” Nelly alimwambia Doreen lakini ukweli ni kwamba alikuwa amefurahi kutokuwepo kwa Anne.
“Yea, hapendi akitoka hapa kwetu akaendelee kufanya kazi za ndani ndiyo maana kaamua kumsomesha,” Doreen alimwambia.

Baada ya mazungumzo hayo, Doreen akiwa anachekacheka alikwenda kuchukua chupa iliyojaa maziwa, mkate wa bofro, jam na kumuandalia chai Nelly, Nelly alifungua kinywa kama vile alikuwa mtoto wa tajiri.

Alipomaliza kunywa chai, Doreen alimtazama Nelly na kumrembulia macho na kumwambia jana yake alimuweka katika wakati mgumu sana, Nelly akamwuliza kivipi!
“Muone kwanza vimacho, eti unaniuliza kivipi si vile ulivyonifanyia yaani usiku sikulala mwenzako da!” Doreen alimwambia Nelly kwa sauti f’lani ya kuhamasisha malovee.

Nelly aliposikia mtoto wa kike wa ushuani akilalamika, akajisemea moyoni kwamba pale alikwenda kazini lakini kufanya kazi na dawa halikuwa kosa, akamuuliza Doreen alitakaje?

“Jamani eti ninatakaje, wewe sijui ukoje?” Doreen alimwambia Nelly na kumpiga kibao cha uchokozi shavuni, Nelly akaachia tabasamu lakini tayari mwili wake ulishapata moto.

Nelly alipokitazama kipensi cha kubana hipsi alichokivaa Doreen na kitopu kilichoonesha michomoko ya viembe sindano vya mtoto huyo akaona ni halali kabisa inzi kufia juu ya kidonda, yaani alikuwa tayari fundi Yassin amtimue site lakini siyo kuidhulumu nafsi yake.

Kijana huyo aliyekuwa na hamu ya kumchinjia baharini Doreen, alikivamia kifua chake na kuanza kumfanyia vurugu zilizokwenda sambamba na denda ambalo a.k.a yake linaitwa kula mua mpaka mtoto wa watu macho yakamuiva mithili ya tunda damu.

Wakati mtoto huyo wa kishua akijibu mashambulizi ya kumshika Nelly maeneo mbalimbali ya mwili wake hususan makazi ya rais mpenda raha, Nelly akadata kabisa.

Alichokifanya kijana huyo ni kumuuliza Doreen eneo ambalo lingekuwa salama kwao kuzitafuna tende kama siyo harua, Doreen akamshika maungoni na kumkokota kwenda naye chumbani kwake.

Kwa kuhofia fundi Yassin au Zakayo angetoka na kukuta hayupo, wawili hao walipofika ndani Nelly hakuona sababu ya kuremba kwa sababu Doreen hakuwa dada yake, akampunyua kila kitu kisha akajipunyua pia, haikupita hata dakika moja uwanja waliokuwa wapo juu yake ulichimbika balaa.

Sharobaro Nelly hakuwa na huruma na mtoto wa watu, alimvuruga kweli Doreen ambaye alikuwa amemisi kuvurugwa kwa muda mrefu na kwa utaalam wa kuchimbua visiki wa kijana huyo wote walijikuta wamegota mwisho wa safari pamoja.
Baada ya kumaliza kazi nzito iliyokuwa mbele yake, Nelly hakutaka kuendelea kukaa mle chumbani, aliingia bafuni akajimwagia maji na kutoka haraka lakini ile anatokeza sehemu aliyotakiwa kuhamisha mchanga akamuona Zakayo akiwa amesimama.

Nelly ambaye wakati huo hakujali chochote kufuatia kumkwangua mtoto mzuri Doreen ambaye aliumbika haswa na kumhamasisha mwanaume yeyote rijali, akawa anacheka.
Zakayo aliyefahamu kwamba Nelly hakuwa mfanyakazi zaidi ya usharobaro, alimkata jicho na kuingia ndani ambako fundi Yassin alikuwa akiendelea na kazi.

“Kaka mkubwa kama ambavyo nilikuwa nakuambia, huko nje hakuna kazi inayofanyika, nilipokwenda kumuangalia huyo dogo uliyetuletea nimemkuta akitokea jikoni kwa bosi,” Zakayo alimwambia fundi Yassin.

“Acha masihara bwana! Yaani bado hajaanza hata kazi?” fundi Yassin alimwuliza Zakayo.

“Ndiyo maana yake, yaani chepe kalichomeka juu ya mchanga nahisi tayari kisha kuwa mwenyeji kutupita wenyeji, kweli hawa vijana masharobaro wana mambo,” Zakayo alimwambia fundi wake.

Kufuatia kauli ya Zakayo, fundi Yassin anayemuelewa vizuri Nelly akaishia kucheka ndipo Haruni akamwuliza Zakayo kwa nini alisema Nelly alikwishakuwa mwenyeji kuliko wao.

“Hivi sisi tangu tulipoanza kazi hapa miezi miwili sasa na ushee tumewahi kuingia hata jikoni kwa bosi?” Zakayo alimwuliza Haruni.

Je, kilifuatia nini? Usikose wiki ijayo. Maoni, ushauri nicheki kupitia namba hizo hapo juu.

Leave A Reply