testiingg
The House of Favourite Newspapers

Nical -“Video Vixen Ni Wezi, Wanadanga Kwa Wasanii, Wanakopwa, Marioo Na Paula Tumechoka”- Video

0
Monica Maulid ‘Nical’

VIDEO vixen matata Bongo, Monica Maulid ‘Nical’ ambaye ameshafanya kazi na wasanii mbalimbali kama vile Mbosso, Diamond Platnumz, Marioo, Rayvanny na wengineo.

Leo kwenye Exclusive interview ya Global TV amefunguka kwamba video vixen wengi hawajui thamani yao na miiko ya kazi yao jambo linalosababisha wawe wanadhulumiwa haki zao baada ya kazi, wengine wakijiingiza kwenye vitendo vya wizi wanapoenda location na udangaji.

Lakini pia amezungumzia kauli ya Harmonize kuwa Bongo hakuna warembo.

Leave A Reply