NMB yasaidia madawati 50 Shule ya Msingi Majimatitu
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia) akimkabidhi dawati Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Shule ya Msingi Majimatitu, Jacob Macha (kushoto) katika hafla hiyo.
Kikundi cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu na bendi ya shule katika picha ya pamoja na wageni rasmi katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa shule hiyo.
Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kushoto) akimkabidhi mmoja wa viongozi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, kwa ajili ya shule yao. Katika hafla hiyo Benki ya NMB ilitoa pia madawati 50 kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.
Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kushoto) akimkabidhi mpira mmoja wa viongozi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, kwa ajili ya shule yao. Katika hafla hiyo Benki ya NMB ilitoa pia madawati 50 kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.