The House of Favourite Newspapers

NYUMBA YA LUGUMI UPANGA YASHINDIKANA KUUZWA (VIDEO)

0

NYUMBA ya Lugumi Upanga jijini Dar es Salaam imeshindikana kuuzika kwa mara ya pili kutokana na waliotaka kuinunua kukomea Sh. Milioni 650, hivyo kushindwa kufikia kiwango kinachotakiwa na Mamlaka ya Kodi nchini (TRA).

Leave A Reply