The House of Favourite Newspapers

Ofisi Ya Bunge Yakanusha Taarifa Hizi Kuhusu CAG

Ofisi ya Bunge imekanusha kuwa Spika Job Ndugai ameandika barua inayotoa wito kwa CAG, Prof. Mussa Assad kujiuzulu ama kujieleza kwa mwajiri wake kwanini asiadhibiwe. Ofisi hiyo imewatahadhirisha wananchi dhidi ya uzushi huo ikisema, ufafanuzi wa azimio dhidi ya CAG ulishatolewa.

Comments are closed.