The House of Favourite Newspapers

Ohoooo! Padri Katoliki Aacha Gumzo

0

Padri wa Kanisa Katoliki ambaye ni raia wa Italia, Father Adolf Poll ameacha gumzo kubwa nchini Kenya. Padri huyo ameondoka nchini humo na kurudi kwao kufuatia utumishi wake katika Kanisa Katoliki nchini Kenya kufika ukomo.

 

Father Adolf Poll amelitumikia Kanisa Katoliki Nairobi, Kenya kwa zaidi ya miaka 53, lakini cha kushangaza ameondoka na mabegi mawili tu ya nguo bila kitu chochote cha thamani huku akiwa amesaidia wengi na kufanya kazi ya Mungu kwa uadilifu mkubwa.

Je, unajifunza nini kwa Padri wa kanisa la Roman Catholic raia wa Italy Father Adolf Poll ameacha gumzo kubwa nchini Kenya baada ya kuaondoka kurudi kwao kufuatia utumishi wake katika kanisa Catholic nchini Kenya kufika ukomo.

 

Father Adolf Poll ametumikia Kanisa Katoliki huko Nairobi kwa zaidi ya miaka 53 na kuondoka na mabegi mawili tu ya nguo bila kitu chochote cha thamani huku akiwa amesaidia wengi na kufanya kazi ya utume kwa uadilifu mkubwa.

Unajifunza nini kwa Father Adolf Poll?

Cc: @sifaelpaul

Leave A Reply