The House of Favourite Newspapers

Makabila Ulisikia Wapi Ndoa ya Wachukianao?

0

KWENYE ukurasa wake wa Istagram, bingwa huyo wa muziki wa Singeli kaandika waraka mreeefuuu kuelezea safari ya ndoa yake.

 

Kubwa ni hapa alipoandika: “Kwa Upande Wangu Furaha Niliyokuwa Nayo Sio Ya Kuoa tu Bali Ni Ya Kumuoa Mtu Ambae Nampenda Na Yeye Ananipenda.”

Hivi Dulla Makabila alishasikia wapi watu wanaochukiana wanafunga ndoa? Ndoa ni ya wapendanao tu.

 

Kwa msingi huo anachotakiwa kukifanya ni kuzingatia misingi ya ndoa vinginevyo upendo anaojivunia utakufa na yeye  atawafuata wasanii wenzake lukuki waliooa na kuacha.

@manyota_rich

Leave A Reply