Osita kuzindua hoteli yake Krismasi!

ositOsita Iheme ‘Pawpaw’.

KUNA kila dalili za staa mwenye umbo fupi anayekimbiza kunako soko la filamu Nollywood, Osita Iheme ‘Pawpaw’ kufungua bonge la hoteli yake Sikukuu ya Krismasi mwaka huu (Desemba 25).

Staa huyo aliyejenga hoteli hiyo miezi kadhaa iliyopita katika Jimbo la Imo huko Owerri, ameshaipa jina hoteli hiyo kuwa itaitwa The Resident.


Loading...

Toa comment