×

Polisi Wakamata Kondomu, Mali za Wizi, Silaha na Wahalifu 231

JESHI la Polisi Mkoa wa Shinyanga limefanya Operesheni maalumu ya kukabiliana na kuzuia makosa ya uhalifu na kufanikiwa kukamata wahalifu...

READ MORE

Mto Msimbazi Sasa Kuwa Eneo la Uwekezaji

SERIKALI ya Tanzania imepanga kulibadili eneo la bonde la mto Msimbazi kuwa eneo la uwekezaji na fursa mbalimbali ili kuondokana...

READ MORE

Binadamu wa Kwanza Kutua Mwezini Afariki

Mwanaanga za juu wa Marekani, Michael Collins, ambaye aliongoza Apollo 11 wakati wanaanga wenzake wawili walipokuwa binadamu wa kwanza kutembea...

READ MORE

Musukuma Adai RC Gabriel na Wenzake Wametafuna Mil 600 – Video

Mbunge wa Geita Vijijini (CCM), Joseph Musukuma amemlipua mkuu wa Mkoa wa Geita, Robert Gabriel na timu akidai wamepata zaidi...

READ MORE

Muuguzi Ajinyonga Hadi Kufa Kisa Madeni

MUUGUZI wa Hospitali ya Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, David Mtaita (30) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia kamba ikiwa ni...

READ MORE

Morrison Awafanyia Mazoezi Maalum Yanga

ZIKIWA zimebaki takribani siku tisa kabla ya Dabi ya Kariakoo kati ya Simba na Yanga, Kiungo Mshambuliaji wa Simba, Bernard...

READ MORE

Pole Pole Afunguka Maandalizi Ya Mkutano Mkuu wa CCM Kesho -Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole leo Aprili 29, 2021 amezungumza na waandishi wa...

READ MORE

Azam FC Wakataa Kumuachia Dube

UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa hawapo tayari kumuuza staa wao, Mzimbabwe, Prince Dube, kwenda Simba na badala yake ataendelea...

READ MORE

Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa Yaketi Dodoma Leo

  Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM leo Aprili 29, 2021 wamefanya Kikao cha Halmashauri Kuu ya...

READ MORE

Nafasi za Kazi Arusha Technical College ATC, Instructor (Mechanical)

POST INSTRUCTOR II (MECHANICAL) – 1 POST POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES EMPLOYER Arusha Technical...

READ MORE

Tuhuma za Rushwa! Askari Polisi 4 Wafukuzwa Kazi

ASKARI wanne wa Jeshi la Polisi mkoani Arusha wamefukuzwa kazi na maofisa wawili wa Jeshi hilo wamesimamishwa kazi kwa tuhuma...

READ MORE

Binti Miaka 17 Akamatwa kwa Kuiba Kichanga

  BINTI mmoja mkazi wa mkoa wa Geita, Anjelina Masumbuko mwenye umri wa miaka 17 anashikiliwa na Jeshi la Polisi...

READ MORE

Mtandao wa Twitter ‘Wafunguliwa’ Tanzania

WATUMIAJI wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hii leo wanaweza kuingia katika mtandao wa Twitter bila kutumia mfumo wa usalama...

READ MORE

PSG Yatoa Ofa Kwa Messi

KLABU ya Paris Saint Germain imeelezwa kwa sasa ipo kumshawishi staa wa Barcelona, Lionel Messi kujiunga na klabu hiyo, kumpa...

READ MORE

Wasauzi Wampigia Simu Mo Kumuuliza Manula

TAARIFA kutoka ndani ya Simba zinasema kwamba, timu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini, imelazimika kumpigia simu Mwenyekiti wa Bodi...

READ MORE

Serikali Ipo Tayari Kufanya Mabadiliko Sherika ya Vyombo vya Habari

SERIKALI imesema ipo tayari kupokea mapendekezo ya mabadiliko ya sheria na sera ya vyombo vya habari na kuzifanyia marekebisho kwa...

READ MORE

Biden: Marekani Haitavumilia Chokochoko za China

RAIS wa Marekani Joe Biden, amelihutubia bunge la nchi hiyo kwa mara ya kwanza akiwa rais na kutumia sehemu ya...

READ MORE

Hawa Ndo Watakaomchagua Mwenyekiti Mpya CCM – Video

WAJUMBE 1876 wa mkutano mkuu maalumu wa CCM wanatarajiwa kupiga kura jina moja litakalowasilishwa katika mkutano huo kumchagua mwenyekiti mpya...

READ MORE

Tanzania, Marekani Mambo Safi

SERIKALI ya Tanzania imewahakikishia Wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Marekani mazingira mazuri na kuwasihi kuendelea kuwekeza hapa nchini.   Ahadi hiyo...

READ MORE

Daktari Feki Anaswa Akitoa Huduma za Kibingwa

MKAZI wa Kijiji cha Mudio, Kata ya Romu wilayani Hai, mkoani Kilimanjaro, Othuman Kimaro, amekamatwa na vyombo vya dola akituhumiwa...

READ MORE