The House of Favourite Newspapers

Nuh Afungukia Povu la X-Wake

KUFUATIA povu alilolitoa aliyewahi kuwa mke wa mwanamuziki Nuh Mziwanda, bidada Nawali kwenye kituo kimoja cha televisheni kwamba baba wa mtoto wake huyo hamuhudumii mtoto wao, Nuh amefunguka kuwa mwanamke huyo anatafuta kiki na si…

Wolper aonyesha mahaba kwa Fid Q

STAA wa Filamu Bongo, Jacquline Wolper amefunguka kuwa msanii anayemkubali kwa sasa Bongo ni Fareed Kubanda ‘Fid Q’ na hiyo ni kutokana na utendaji wake mzuri wa kazi na nyimbo bora anazotoa. Akichonga na Uwazi Showbiz, Wolper…

Said wa Scorpion Kufikishwa Kortini

SAKATA la Said Mrisho aliyedaiwa kutobolewa macho na Salum Njwete ‘Scorpion’ na mkewe Stara Sudy, linatarajiwa kufikishwa mahakamani baada ya kushindwa kuelewana ngazi ya Ustawi wa Jamii. Said na mkewe waliingia kwenye bifu zito siku…