Dudubaya: Natamani Nikamue Tena Fiesta
MSANII wa kitambo kwenye Bongo Fleva, Dudubaya amefunguka kuwa anatamani kuendelea kuonyesha makeke yake kwenye Tamasha la Fiesta linaloendelea kwenye mikoa tofauti baada ya hivi karibuni kupanda jukwaani wakati tamasha hilo likiwa…
Simba vs Yanga sasa ni CCM Kirumba
SIKU moja baada ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiga marufuku kutumika kwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam uliopo katika matengenezo, mechi ya Simba na Yanga sasa itachezwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
…
Kisa Ajibu, Juma Abdul Aongezewa Mbinu
KATIKA kuhakikisha timu yake inapata ushindi kwa kutumia mipira ya pembeni, Kocha wa Yanga, George Lwandamina amemuongezea mbinu beki wake wa kulia, Juma Abdul.
Lwandamina amefanya hivyo katika mazoezi ya timu hiyo wiki hii…
Yanga Yatamba Kuipiga Mtibwa
YANGA leo inacheza na Mtibwa Sugar katika Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, lakini imetamba kushinda.
Wakati Mtibwa ikiwa kileleni, Yanga yenyewe ipo nafasi ya sita ikiwa na pointi nane, lakini kocha msaidizi wa…
Rais Shein Ateua Majaji Wapya
Zanzibar. Rais wa Zanzibar, Ali Mohamed Shein amefanya uteuzi wa majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar.
Kwa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 94(2) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais Shein amewateua Khamis Ramadhan Abdalla na Aziza…
China Yaipatia Tanzania Msaada Wa Sh. Bilioni 29.4
Serikali ya China imeipatia Tanzania msaada wa Shilingi 29.4bilioni kwa ajili ya kusaidia sekta ya elimu, utalii wa kijiolojia na kuukarabati Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Makubaliano ya msaada huo yametiwa saini Jijini Dar es…
Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Septemba 30, 2017
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Septemba 30, 2017. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.
Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App
WASANII WA BONGO FLEVA WATIFUANA NA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA SIMU
MTANANGE wa soka kati ya timu ya wasanii wa Bongo Fleva na wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano Airtel, umetimua vumbi katika mchezo wa kirafiki uliopigwa kwenye Uwanja wa Tanganyika Packers, Kawe jijini hapa…
Airtel yatoa mafunzo ya TEHAMA kwa Walimu Dar
Kampuni yasimu za mkononi ya Airtel kwa kushirikiana na Atamizi ya Teknohama ya Dar es Salaam (DTBi) imeanza kutoa mafunzo ya Tehama kwa waalimu katika maabara ya kompyuta iliyopo katika shule ya msingi…
Aliyeandika Uongo WhatsApp Kuhusu Polisi Kuonekana Hospitali ya Nairobi
MKAZI mmoja wa Kigamboni, Mbutusyo Mwakihaba (40), amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusambaza ujumbe katika mtandao kwamba kachero wa Usalama wa Taifa ameonekana jijini Nairobi karibu na hospitali aliyolazwa Mbunge wa Singida Mashariki,…
Serikali Yalifungia Gazeti la Raia Mwema kwa Kuandika Taarifa za Uongo Kuhusu JPM
SERIKALI yalifungia gazeti la Raia Mwema kwa kuandika taarifa zisizo za kweli kumuhusu Rais John Magufuli.
Sabby: Hamisa Pigania Ndoa Sasa
MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ amemtaka mwanamitindo Bongo, Hamisa Mobetto kupigania ndoa kwa Mbongo Fleva aliyezaa naye, sababu dini yake inamruhusu kuwa mke wa pili.
Akipiga stori na Star Mix, Sabby alisema…
Kituo cha Mabasi Ubungo Kuzalisha Ajira 20,000
MSTAHIKI Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amekutana na ugeni kutoka Jiji la Shanghai nchini China na kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo jijini hapa ikiwemo suala la uboreshaji wa Kituo cha Mabasi…
Shilole Adaiwa Kumtesa Uchebe
MKALI wa miondoko ya Mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ anadaiwa kumtesa mpenzi wake, Ashiraf Uchebe na kwamba imefikia kipindi anamgombeza mbele za watu kama mtoto mdogo. Kwa mujibu wa chanzo, kiliitonya Star Mix kuwa, juzikati katika…
Kidoa: Nilibanwa Sana, Sasa Napumua
MUUZA nyago kwenye video za Bongo Fleva ambaye pia ni msanii wa filamu, Kidoa Salum amesema kuwa mwanzoni mchumba wake (jina kapuni) alikuwa akimbana kila kona lakini kwa sasa anapumua kwa kuwa amekuwa muelewa.
…
Mahakama Yaagiza Seth Kutibiwa Muhimbili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeamuru kwa mara nyingine mshtakiwa Harbinder Sethi akatibiwe katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ndani ya siku 14.
Korti imesema iwapo hilo halitatekelezwa, mkuu wa gereza afike mahakamani kujieleza.…
KUN AGUERO AVUNJIKA MBAVU AJALINI
MSAMBULIAJI wa Klabu ya Soka ya Manchester City na timu ya taifa ya Argentina, Sergio Kun Aguero, amepata ajali ya gari usiku wa jana akiwa njiani kuelekea uwanja wa ndege nchini Uholanzi ambako alikuwa amehudhuria tamasha la muziki. …
TID Kugombea Ubunge wa Kinondoni 2020
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Khalid Mohamed maarufu kama T.I.D, ametangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni, kwenye uchaguzi ujao unaotarajiwa kufanyika mwaka 2020, na kumng'oa mbunge wa sasa wa jimbo hilo Maulid…
Mke wa Mzee Small: Nimetengwa Nateseka!
DAR ES SALAAM: Mke wa mwigizaji nguli, Said Ngamba ‘Mzee Small’, Fatuma Said amesema yupo kwenye kipindi kigumu cha maisha kutokana na upweke alionao na kwa sababu marafiki wa marehemu mumewe wamemtenga si kwa salamu wala barua.…
Ajibu Apindua Rekodi ya Simba
STRAIKA mpya wa Yanga, Ibrahim Ajibu, amefanikiwa kuipindua rekodi yake ya mabao kwa msimu uliopita alipokuwa akiitumikia Simba baada ya kucheza mechi nne za awali.
Ajibu ambaye ni zao la Simba, amejiunga na Yanga msimu huu baada ya…
Bunge Lafafanua Kuhusu Kumnyang’anya Gari Mbowe
OFISI ya Bunge imesema Kiongozi wa Kambi ya Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe hajanyang’anywa gari.
Taarifa iliyotolewa na Bunge leo Alhamisi imesema kilichotokea ni kwamba, gari hilo limerudishwa nchini ili dereva afuate…
Mbunge Lijualikali Akamatwa na Polisi
Mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali na viongozi watatu wa Chadema wilayani Malinyi wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya kusanyiko lisilo halali.
Mbunge huyo amekamatwa leo Alhamisi saa 12:40 jioni akitoka kwenye kikao cha…
Amuua Kaka Yake Kisa Makalio ya Mwanamke
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Pwani Kamishna Msaizidizi Jonathan Shanna Warioba, ametoa onyo kali kwa wananchi wenye tabia za udhalilishaji kwa wanawake kuacha tabia hiyo mara moja huku akisema kwamba udhalilishaji umesababisha kifo.
Kamanda…
Carlo Ancelotti Atimuliwa Bayern Munich
Kocha wa Bayern Munich, Carlo Ancelotti amefutwa kazi jana kufuatia mwanzo mgumu wa msimu wa 2017/18 yakiwemo matokeo ya juzi usiku ambapo timu hiyo ilikubali kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa PSG anayoichezea Neymar Jr.
Mkurugenzi…
Niyonzima: Tutakachowafanya Stand United Watajuta
KIUNGO wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima amesema kuwa watahakikisha wanafanya kila liwezekanalo ili kuondoka na alama tatu kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Stand United.
Niyonzima ameyasema hayo baada ya…
RAV 4 YA HAMISA MOBETO YAIBUA ZENGWE
BADO mrembo aliyezaa na Mbongo Fleva, Hamisa Mobeto ameendelea kutengeneza vichwa vya habari, safari hii, gari lake aina ya Toyota Rav 4 alilopewa na msanii huyo, linadaiwa kuibua zengwe kwa kile kinachoelezwa kuwa ilikuwa msanii huyo…
Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa, Septemba 29, 2017
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Septemba 29, 2017. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.
Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App
Benki ya Dunia Yatoa Magari 11 Mradi wa SWIOFish
BENKI ya Dunia leo imekabidhi magari 11 kwa wakurugenzi na wakuu wa taasisi za Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kupitia mradi wa Southwest Indian Ocean Fisheries Governance and Shared Growth (SWIOFish).…
Bunge Ladaiwa Lamnyang’anya Mbowe Gari Alilokuwa Akitumia Shughuli za Matibabu ya Lissu
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kimesikitishwa na hatua ya uongozi wa Bunge la Tanzania ya kulichukua gari la Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni (KUB), Freeman Mbowe alilokuwa akilitumika kwa shughuli za matibabu ya…
Aliyemwibia Kardashian jijini Paris Atuma Barua Kuomba Radhi
POLISI wamesema mtu aliyeongoza wizi dhidi ya mwanamitindo na mtangazaji maarufu wa Marekani, Kim Kardashian, akiwa jijini Paris, ameandika barua akimwomba radhi, lakini mrembo huyo amekataa.
Timu ya wanasheria…
Mwigulu Afafanua Kuhusu Gari Liliyokuwa Ikimfatilia Lissu
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu amesema leo kuwa baada ya polisi kufuatilia gari hiyo wamegundua iliyokuwa inamfuatilia Lissu ilikuwa na namba batili huku gari halisi yenye namba hizo za usajili ikiwa Arusha.
“Utoaji wa taarifa…
TEAM WEMA WAFANYA KUFURU BIRTHDAY YA WEMA!
Ikiwa leo Septemba 28, 2017, mwigizaji mahiri Bongo, Wema Isaac Sepetu almaarufu Keki ya Taifa, anasheherekea birthday yake, mashabiki wake wameungana kwa pamoja na kumfanyia surprise akiwa saluni kwa kumpelekea keki na shampeni…
Mchungaji Msigwa Apandishwa Kortini kwa Madai ya Kutishia Kuua
MBUNGE wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa amepandishwa kizimbani leo Alhamisi katika Mahakama ya Mwanzo Mjini Iringa kwa madai ya kumtusi na kutishia kumuua aliyekuwa Diwani wa Kata ya Kitwiru, Baraka Kimata.
Mbali na Msigwa pia…
Sakata la Bashite.. Meya wa Ubungo Atinga Katika Kamati ya Maadili (Video)
Sakata la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kudaiwa kughushi vyeti vya elimu, limechukua sura mpya baada ya Meya wa Ubungo, Boniphace Jacob, kutinga kwenye Kamati ya Maadili ya Watumishi wa Umma, ambako shauri alilolifungua…
Mwigulu Afafanua Kuhusu Watu Wasiojulikana
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameelezea maana ya watu wasiojulikana, akisema ni wanaofanya uhalifu na kutoweka bila ya kufahamika. Hata hivyo, amesema mkakati wa Serikali ni kutaka wajulikane.
Mwigulu amesema hayo…
Mwigulu: Serikali Haijui Kama Ben Saanane Amekufa au Yuko Hai
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba amesema Serikali haijui kama Ben Saanane alikufa au yuko hai, lakini Jeshi la Polisi linaendelea kumtafuta ili kujua kilichotokea. Saanane ambaye ni Mkuu wa Idara ya Sera na Utafiti wa…
Madereva Watukutu Yawakuta Mazito – Video
KAMANDA wa Kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu amezifuta leseni za madereva saba ambao walikamatwa kwa makosa mbalimbali yakiwemo kuendesha kwa mwendokasi, kukiuka sheria za barabarani na kusababisha ajali, vifo na…
Kopa Atoa Mbinu za Mwanamke Kujikwamua
MAMBO vipi mpenzi msomaji wa safu hii Ulipo Mwanamke Tupo (UMT).
Wiki iliyopita tulikuwa naye msanii mkongwe wa filamu Bongo, Fatuma Makongoro ‘Bi Mwenda’ lakini leo tunaye mwanamuziki mashuhuri wa miondoko ya Taarab,…
Siri Nzito Yatawala Ndani ya Kamati Kuu CCM
KIKAO cha Kamati Kuu ya CCM kilianza jana chini ya Mwenyekiti wake, John Magufuli, lakini haikuweza kufahamika mara moja uamuzi uliofikiwa katika kuchuja majina ya wagombea wa nafasi za uongozi katika ngazi ya wilaya.
CCM imeanza…
Wadada Wapewa Somo la Kupata Mpenzi wa Kuwaoa
ZAMA hizi ni kusaidia kwa kila kitu. Kama wewe ni binti ambaye unatamani na unataka ukute au upate mwanaume wa kukuoa akiwa na kila kitu bila wewe kuvuja jasho au kushiriki, utasubiri sana.
Utaendelea kulalamika kuwa…