×

Bad News: Fisi Waua Watoto Wawili Geita

WATOTO wawili wamefariki dunia na watu wanne kunusurika kifo baada ya kuvamiwa na kushambuliwa na kundi la fisi ambao wamekuwa...

READ MORE

Beki Mpya Simba ni Kocha Mchezaji

KAMA Kocha Mkuu wa Simba, raia wa Ufaransa, Didier Gomes Da Rosa atamtumia beki wake mpya raia wa Zimbabwe, Peter...

READ MORE

Mvulana (12) Aua Mwizi Aliyeingia Nyumba ya Bibi Yake

MVULANA mwenye umri wa miaka  12 amemuua mwizi aliyevaa kinyango ambaye, alivunja na kuingia katika nyumba ya bibi yake., polisi...

READ MORE

Kilichowakuta Mdee na Wenzake Kortini Leo

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar-es-saalam, imewasomea maelezo ya awali wanachama wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) wakiwemo...

READ MORE

Watumishi wa Serikali Kizimbani kwa Tuhuma za Wizi

Ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Songwe leo tarehe 15/02/2021 imewafikisha watumishi wa umma wawili(02) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa...

READ MORE

Ofisa Mauzo Kortini Akidaiwa Kuiba Mil 89 – Video

OFISA Mauzo wa Kampuni ya Amsons Industries Tanzania Limited, John Joseph (40),  mkazi wa Kimara Michungwani jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Nyota Al Ahly: Tunakuja Kusaka Ushindi Dar

NYOTA wa Al Ahly, Walter Bwalya, amesema kuwa watakuja Dar kwa lengo moja la kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye...

READ MORE

Harmonize: Rayvanny Ulipata Wapi Ujasiri Kutembea na Mwanafunzi?

STAA wa Bongo Fleva, Harmonize ameamua kuvunja ukimya na kumwangushia zigo zito la lawama msanii mwenzake kutoka Lebo ya WCB,...

READ MORE

Kipigo Cha Azam FC Chamuibua Lwandamina

KIPIGO cha mabao 2-1 walichokipata Azam FC kutoka kwa Klabu ya Coastal Union kimemuibua kocha mkuu wa timu hiyo George...

READ MORE

Exclusive: Siku za Ndoa ya Lulu Zatimia, Maandalizi Yanoga

HAYAWI hayawi, sasa ni rasmi yamekuwa! Ndivyo kilivyoanza kunyetisha chanzo chetu cha uhakika juu ya kufungwa kwa ndoa ya Malkia...

READ MORE

Kaze Awatumia Ujumbe Mzito Simba SC

BIG bosi wa benchi la ufundi la Yanga, Mrundi Cedric Kaze ametamba kwamba hakuna namna ambayo itawafanya wapinzani wao Simba...

READ MORE

Wananchi Rwanda Waanza Kuchoma Chanjo ya Corona

CHANJO dhidi ya Covid-19 imeanza kutolewa nchini Rwanda kwa wahudumu wa afya, wizara ya afya imetangaza.   Afisa wa wizara...

READ MORE

Seneta Haji Afariki

SENETA wa Garissa, Mohamed Yusuf Haji amefariki, familia yake imethibitisha.   Haji ambaye hadi mwaka 2020 alihudumu kama Mwenyekiti wa...

READ MORE

Baba’ke Nicki Minaj Afariki Dunia

BABA mzazi wa rapa Onika Tanya Maraj maarufu Nicki Minaj, Robert Maraj (64),  amefariki dunia akiwa hospitalini alipokuwa akipatiwa matibabu...

READ MORE

Vita: Simba Walistahili

BAADA ya AS Vita kukubali kichapo cha bao 1-0 dhidi ya Simba, wachezaji wa timu hiyo wamesema kuwa Simba walistahili...

READ MORE

Hatimaye Anjella wa Harmonize Apelekwa Mjini

MSANII wa Bongo Fleva, Harmonize, amesherehekea siku ya Valentines kwa kuachia ngoma yake mpya #AllNight aliyomshirikisha msanii chipukizi, Anjella.  ...

READ MORE

Pigo: Wanne Familia Moja Wafariki Katika Mazingira Tofauti

FAMILIA ya Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (SUA), Profesa Delphina Mamiro, imepata pigo ndani siku 28 kwa kupoteza...

READ MORE

Namungo Yarejea, Yasubiri maamuzi ya Caf

  BAADA ya kuahirishwa kwa mchezo wao wa hatua ya mtoano ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi Clube Desportivo 1º...

READ MORE

KCMC Yafungukia Mgomo wa Madaktari

HOSPITALI  ya KCMC ya mkoani Kilimanjaro, kupitia kwa msemaji wake, Gabriel Chiseo, imeweka wazi kuwa hakuna mpango wa kugoma kwa...

READ MORE

Huawei Yasisitiza Kuendelea Kuimarisha Utandawazi

  Kampuni ya Huawei imeahidi kuzingatia mkakati wake wa utandawazi licha ya shinikizo la nje. Aidha, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni...

READ MORE