×

DStv Yaikabidhi Jezi Global FC, Kucheza Januari 31

UONGOZI wa DStv Tanzania leo Januari 8, 2021,   umeikabidhi timu ya Global FC jezi za nyumbani na ugenini kwa ajili...

READ MORE

Klabu Bingwa: Simba Yapangwa Kundi la Kifo

  KLABU Simba ya Tanzania, leo Januari 8, 2021, katika droo ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika imepeagwa ikipangwa kundi...

READ MORE

China Yaisamehe DR Congo

SERIKALI ya China imeisamehe Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo sehemu ya deni inaloidai, ili taifa hilo liweze kupambana na janga...

READ MORE

Kitambi Cha Mondi Chawaacha Hoi Wananzengo

Heheheh hivi karibuni video ya staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond’ ilivuja mitandaoni huku ikimuonyesha kuwa na kitambi kikubwa...

READ MORE

Kisiwa cha Harishi- Part 7

“Kisiwa cha Mauti, Kisiwa cha Harishi, mahali yalipo makazi ya jini hatari anayeishi kwa kufyonza damu na ubongo wa binadamu....

READ MORE

Wenye Smart Phone Wapewa ‘Maujanja’ Kusoma Magazeti Mtandaoni

WAKATI Kampuni ya Global Publishers Ltd ikizidi kwenda kasi katika ulimwengu wa kidijitali  mtandaoni,  leo timu ya maofisa masoko wa...

READ MORE

JPM Aiomba China Mambo Matatu “Wanajua Hatuna Corona” – Video

Rais Dkt. John Magufuli leo Ijumaa, Januari 8, 2021, amempongeza Waziri wa Mambo ya Nje wa China, Wang Yi kwa...

READ MORE

Tanzania, China Zasaini Ujenzi SGR (Mwanza-Isaka)

  SERIKALI  ya Tanzania kupitia Shirika la Reli (TRC) na China zimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya kilomita...

READ MORE

Nana Amchinjia Baharini Ibrah

 Video vixen na muigizaji wa tamthilia Bongo, Nabila Othman ‘Nanah’ amekanusha skendo za kutoka kimapenzi na msanii wa Lebo ya...

READ MORE

Yusuf Mlela Sioni Tatizo Wasanii wa Bongo Fleva Wakiigiza

MKALI katika tasnia za filamu Bongo, Yusuf Mlela amesema kutokana na mabadiliko yanayohitajika kwenye sanaa, haoni tatizo wasanii wa Bongo...

READ MORE

Kaze Abadili Gia Angani Yanga, Kukipiga na Namungo Leo

BAADA ya kutoka suluhu dhidi ya Jamhuri FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Mrundi Cedric Kaze amepanga kukifanyia maboresho kikosi chake...

READ MORE

Mwamnyeto Apata Pigo Kubwa

NAHODHA msaidizi na beki wa Timu ya Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania, Bakari Nondo Mwamnyeto amepata pigo kubwa...

READ MORE

Live: Rais Magufuli Akutana Na Waziri Wang Yi Wa China Chato

Rais Dkt John Magufuli leo Januari 8, 2020 amekutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Wang Yi, wilayani...

READ MORE

Suala la Elimu Lamtesa Shigongo, Akutana na Wakuu wa Shule

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo, amekutana na wakuu wa shule za msingi na sekondari  na maafisa elimu...

READ MORE

14 Mbaroni kwa Kuiba Korosho za mil 160/=

POLISI  mkoani Mtwara inawashikilia watu 14 kwa tuhuma za kula njama, kuvunja ghala la korosho na kuiba gunia za korosho...

READ MORE

Rais Trump Arejeshewa Akaunti Yake ya Twitter

Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kuendelea kutuma ujumbe katika mtandao wa Twitter baada ya kufungiwa katika akaunti yake kwa...

READ MORE

Bezos Aondolewa Nafasi ya Bilionea wa Kwanza Duniani

ELON MUSK amekuwa tajiri wa kwanza duniani huku thamani yake ikipita dola bilioni 185 (Tsh trilioni 428.83). Mfanyabiashara huyo ambaye...

READ MORE

Chuchu, Ray Ndo Basi Tena!

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amesema kuzaa na msanii mwenzake Vincent Kigosi ‘Ray’ isiwe tabu na kuanza kumjulisha...

READ MORE

Shigongo Aiomba Tamisemi Kuongeza Walimu Buchosa – Video

MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo amekutana na Naibu Katibu Mkuu wa TAMISEMI, Get Mweli pamoja na Mkurugenzi...

READ MORE

Rais Aapishwa Ghana Baada ya Ghasia Bungeni

NANA Akufo-Addo ameapishwa kuwa rais wa Ghana kwa muhula wa pili, siku moja baada ya ghasia kutokea bungeni. Askari waliagizwa...

READ MORE