×

Marioo Amuacha Mondi Aruke na Mimi Mars!

DAR: Staa wa Bongo Fleva anayefanya poa kwa sasa, Omari Mwanga ‘Marioo’, amekubali kumuachia kinara wa muziki nchini Tanzania, Nasibu...

READ MORE

Soma Magazeti ya Tanzania Leo Oktoba 8, 2020

Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 8, 2020 Usipitwe na Matukio, Install...

READ MORE

Burundi Yawasili TZ Kuikabili Taifa Stars

Timu ya Taifa ya Burundi tayari imewasili nchini kamili kwa ajili ya mchezo wa kirafiki wa kimataifa ulio kwenye kalenda...

READ MORE

Mashabiki wa Yanga Wafurahishwa na Gazeti la Championi – Video

MASHABIKI Kindakindaki wa Klabu ya Yanga wameendelea kumiminika kwenye duka la kuuza jezi za timu hiyo ambapo amekutana na kamera...

READ MORE

Mzimu wa Lowassa Wamtafuna Membe

DAR: WAKATI zikiwa zimebaki siku 25 kabla ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu mwaka huu, upepo wa kisiasa kwa mgombea urais...

READ MORE

Usiku ‘Njoo Mume Wangu Hayupo’ Yamponza

KYELA: Kisa kifuatacho ni uthibitisho tosha kwamba, mke wa mtu ni sumu, Gazeti la IJUMAA lina kisa na mkasa. ‘NJOO...

READ MORE

 Kiba Amkataa Mrembo wa Mondi!

DAR: Siku chache tangu video queen wa nchini Rwanda, Mbabazi Shadia ‘Shaddy Boo’ aposti video inayoonesha gari aina ya Range...

READ MORE

Morrison, Mugalu Wateketeza Mamilioni

MASTAA 22, wanaounda kikosi cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara klabu ya Simba wakiwemo, Benard Morrison na Chris Mugalu...

READ MORE

Kocha Mpya Yanga Apiga Simu Kambini

HUKU Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Injinia Hersi Said, akisema kuwa watamtangaza...

READ MORE

Mkurugenzi Mtendaji Tigo Aungana na ‘DREAM TEAM’ Kuhudumia Wateja

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu za mkononi ya Tigo, Simon Karikari, leo ameingia mtamboni na watoa huduma wake aliowaita...

READ MORE

Simba Yamzuia Beki Kucheza Yanga

IMEFICHUKA rasmi kuwa uongozi wa Yanga uliamua kumuweka benchi beki wao wa kushoto, rasta Yassin Mustapha katika mchezo uliopita dhidi...

READ MORE

Rihanna Aomba Radhi, Kisa ‘Hadith’ ya Kiislamu

MWANAMUZIKI Rihanna ameomba msamaha kwa kutumia Hadith ya Kiislamu kwenye onyesho la nguo za ndani za kampuni yake ya Fenty....

READ MORE

JPM, JK Wakiongoza Dhifa ya Kitaifa kwa Rais wa Malawi – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, ameongoza dhifa ya kitaifa kwa heshima ya Rais wa Malawi,...

READ MORE

Benki ya Akiba Ilivyoungana na Wateja Kuzindua Wiki ya Huduma kwa Wateja

Benki ya Akiba Commercial imezindua wiki ya huduma kwa wateja katika hafla iliyofanyika tawi lao la Tegeta jijini Dar kwa...

READ MORE

Shigongo: Kwa Mara ya Kwanza Tunapata Lami – Video

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amewasisitiza kwamba wamwamini na kumpa kura za...

READ MORE

Mshauri wa Whitehouse Aambukizwa Corona

Ugonjwa wa Covid-19 unaendelea kusambaa miongoni mwa wandani wa Rais wa Marekani Donald Trump, huku mshauri wa Ikulu ya White...

READ MORE

Konda Aliyenusurika Ajali Iliyoua Watano Temeke Asimulia – Video

NI simanzi baada kupata nafasi ya kukutana na aliyekuwa konda wa Coaster iliyopata ajali na kuuwa watu watano ambapo ameeleza...

READ MORE

Shigongo Awatia ‘Hasira’ Vijana wa Buchosa

MGOMBEA ubunge Jimbo la Buchosa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James, amekutana na vijana wa Kata ya Kalebezo...

READ MORE

Samatta: Tutaifunga Burundi Jumapili

NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta, amefunguka kuwa anaamini kikosi cha Stars kitapata matokeo mazuri...

READ MORE