×

Tuchel Aahidi Kuiongoza England Hadi Euro 2028 Licha ya Ofa za Klabu Kubwa

Kocha mkuu wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, ametangaza kuwa hana mpango wa kuondoka kwenye nafasi hiyo kabla...

READ MORE

Grand, Mega Na Major Jackpot Ndani Ya Double Mummy’s Jewels 1000

Kwenye soka, kila mchezaji huingia uwanjani akiwa na ndoto ya kuandika historia kupitia ushindi mkubwa. Mashabiki nao husubiri kwa hamu...

READ MORE

Pochettino Kuiongoza Marekani Katika Mechi Mbili Kabla ya Kujiunga na Man United

MANCHESTER, ENGLAND: Mauricio Pochettino anatarajiwa kuendelea kuiongoza timu ya taifa ya Marekani katika michezo yake miwili ijayo dhidi ya Haiti,...

READ MORE

Iran Yataka Marekani na Israel Kulipa Fidia ya Uharibifu wa Mazingira Uliochochewa na Vita

ANTALYA, UTURUKI: Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, ameitaka jumuiya ya kimataifa kuweka utaratibu wa kutathmini na kutoa fidia kwa uharibifu...

READ MORE

Video: Balozi wa Urusi nchini Marekani Afariki Ghafla Akiwa na Miaka 66

MOSCOW, URUSI: Balozi wa Urusi nchini Marekani, Alexander Darchiev, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 66, katika kipindi ambacho...

READ MORE

Serikali Yatangaza Nafasi 18 za Ajira Katika Taasisi Tano, Mwisho Kuomba Novemba 23, 2026

Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS) imetangaza nafasi 18 za ajira katika taasisi tano za umma, ikiwemo Bodi...

READ MORE

TFF Yaweka Hadharani Wanaowania Tuzo za Msimu 2025/26, Kufanyika Desemba 12, 2026

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza majina ya wachezaji, makocha, waamuzi na wadau mbalimbali walioingia kwenye kinyang’anyiro cha...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Novemba 12, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Polisi Wamkamata Dereva Excavator kwa Kuharibu Mali za Mwajiri Kigamboni

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata watu wawili kwa tuhuma za makosa mbalimbali ya jinai, ikiwemo...

READ MORE

Azam Kuungana na Yanga New Aman Complex, Simba Kutumia Uhuru

Klabu ya Azam FC imetangaza rasmi kutumia Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar, kwa ajili ya michezo yake ya hatua...

READ MORE

Vodacom Foundation Yakabidhi Jengo la Kituo cha Rasilimali za Walimu Mbezi

Vodacom Tanzania Foundation imefanya maboresho ya Kituo cha Rasilimali za Walimu (TRC) katika Shule ya Msingi na Ufundi Mbezi, Wilaya...

READ MORE

Eisenkot Aanza Kumpa Presha Netanyahu, Apanga Kufuta Mabadiliko Yake Ya Kisheria

Kiongozi wa kisiasa nchini Israel, Gadi Eisenkot, ameahidi kubadili sera kadhaa za Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu, kufuatia kuapishwa kwa Bunge...

READ MORE

Mchezo Mpya wa Krismasi Watua Meridianbet, Ushindi Mara 20,000

Wapenzi wa michezo ya kasino, maandalizi ya msimu wa sikukuu yamepata ladha mpya baada ya Pragmatic Play kuleta Big Bass...

READ MORE

Halmashauri Zahimizwa Kutumia PPP Kutekeleza Miradi ya Maendeleo

Halmashauri nchini zimehimizwa kutumia mfumo wa ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) kutekeleza miradi ya kibiashara na...

READ MORE

Man United Yamgeukia Pochettino, Carrick Akaribia Kutimuliwa

Klabu ya Manchester United inakaribia kufikia makubaliano na kocha wa timu ya taifa ya Marekani, Mauricio Pochettino, kuwa kocha wake...

READ MORE

Wapanda Mlima 22 wa ARiS na TIRA Wafika Kilele cha Kilimanjaro Kupitia Kili Insurance Summit 2026

KILIMANJARO, 12 Novemba 2026: Wapanda mlima 22 kutoka ARiS Risk & Insurance Solutions Limited na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima...

READ MORE

Ivory Coast na Gambia Kukutana Vitani, Nani Kutawala Kundi C La Afcon 2027?

Mashabiki wa soka la Afrika wanatarajia kushuhudia mchezo wenye ushindani mkubwa wakati Ivory Coast itakapovaana na Gambia katika hatua ya...

READ MORE

Dkt. Mwigulu Awaonya Sungusungu “Msitenge Wananchi Kwa Sababu ya Imani za Dini”

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amevitaka vikundi vya ulinzi shirikishi vya Sungusungu nchini kutowatenga wananchi kutokana na imani zao za...

READ MORE

Netanyahu Avishambulia Vyama vya Kiarabu Israel, Asema Havifai Kushiriki Kuunda Serikali

Waziri Mkuu wa mpito wa Israel, Benjamin Netanyahu, amevishutumu vyama viwili vya kisiasa vinavyoongozwa na Waarabu nchini humo, Ra’am na...

READ MORE

Diamond, Zuchu Wampokea Davido na Mkewe Chioma Nyumbani Kwao

Wanandoa wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz na Zuchu, wamepokea wageni wao maalumu, staa wa muziki kutoka Nigeria, David...

READ MORE