×

Trump Azindua “Project Freedom” Kusaidia Meli Hormuz, Iran Yapinga Vikali – Video

Mwanasiasa mkuu wa Iran, Ebrahim Azizi, ameonya kuwa iwapo Marekani itaingilia mfumo mpya wa usimamizi wa baharini katika Mlango wa...

READ MORE

Makonda Awasili Bungeni Akiambatana na Nyota wa Soka Didier Drogba

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, leo Mei 4, 2026 amewasili katika viwanja vya Bunge la Tanzania...

READ MORE

Soko Linataka Burudani Ya Kisasa Na Maridianbet Inakupa Gates of Halloween

Soko la burudani za mtandaoni linaendelea kubadilika kwa kasi, likileta uzoefu unaovutia kizazi cha sasa. Miongoni mwa ubunifu huo ni...

READ MORE

Sbl Yashiriki Mazungumzo Ya Kuimarisha Kilimo Biashara

Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Yashiriki Mazungumzo ya Kuimarisha Kilimo na Biashara ya Kikanda katika Jukwaa la Uchumi la...

READ MORE

Polisi Wachunguza Kifo cha Mtu Aliyekutwa Bila Kichwa Mto Msimbazi – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam linaendelea na uchunguzi wa kifo cha mtu ambaye mwili wake ulikutwa ukielea...

READ MORE

Matatizo ya Afya Yanayosababishwa na Maji Kupita Kiasi Mwilini

Maji ni muhimu sana kwa afya ya binadamu, lakini kama mwili ukiwa na maji mengi kuliko inavyohitajika, hali hii inaweza...

READ MORE

Hizi Hapa Mbinu Za Kukabiliana Na Maumivu Ya Mapenzi

KARIBU jamvini mdau. Ni Jumatatu nyingine tumekutana kupeana maujanja ya mapenzi na maisha kwa jumla. Unachopaswa kujua ni kwamba kila...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 4, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Rais Samia Aeleza Mafanikio ya Ushirikiano na Rwanda Baada ya Mazungumzo na Kagame (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na...

READ MORE

Marekani Yatoa Onyo Kali kwa Makampuni ya Usafirishaji Kuhusu Malipo kwa Iran

MAREKANI imeonya makampuni ya usafirishaji duniani kwamba yanaweza kukabiliwa na vikwazo vya kiuchumi iwapo yataendelea kufanya malipo kwa Iran ili...

READ MORE

Manchester United, Liverpool ni DO or DIE Kwenye Nafasi ya Tatu ya EPL

Mechi hii ya kihistoria inachezwa leo Uwanja wa Old Trafford kuanzia saa 17:30 jioni, huku timu zote zikiwa zimetofautiana kwa...

READ MORE

Rais Kagame Awasili Nchini kwa Ziara ya Kukuza Ushirikiano wa Biashara

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame amewasili nchini kwa Ziara ya Kikazi ya siku moja yenye lengo la kuimarisha...

READ MORE

Dabi ya Kariakoo: Simba na Yanga Kuamua Hatima ya Ubingwa Leo!

Leo, Mei 03, 2026, dimba la Meja Janerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam litashuhudia pambano la kihistoria kati ya Simba...

READ MORE

Meridianbet Yaanzisha Burudani Mpya kwa Vijana kwa Ushirikiano na EGT Digital

Meridianbet imekuja na hamasa mpya kabisa kwa vijana wanaopenda burudani ya kisasa. Kupitia ushirikiano wake na EGT Digital, sasa unaingia...

READ MORE

Selena Gomez Aweka Sokoni Jumba lake la kifahari Los Angeles

Msanii maarufu wa muziki na filamu, Selena Gomez, ameweka sokoni jumba lake la kifahari lililopo eneo la Los Angeles kwa...

READ MORE

Rais Trump Achunguza Pendekezo Jipya la Iran Kuhusu Kumaliza Vita

Rais Donald Trump Mei 2, 2026 amesema kwamba alikuwa akichunguza pendekezo jipya la Iran la kumaliza vita, lakini pia alionyesha...

READ MORE

Dalili 5 Muhimu za Ugonjwa wa Figo Usizopaswa Kupuuza

Figo hufanya kazi nyingi kwa wakati mmoja katika mwili wetu. Huondoa taka katika mwili. Kuweka uzaini wa maji na madini...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 3, 2026

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa...

READ MORE

Trump Atangaza Kumalizika kwa Vita na Iran Bungeni Marekani – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza mbele ya Bunge la Marekani kuwa vita na Iran ‘vimekwisha’, huku akisisitiza kuwa hana...

READ MORE

Rais Samia Afanya Uteuzi na Mabadiliko ya Viongozi, Naibu Waziri, Katibu Mkuu wa Wizara

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi na mabadiliko ya viongozi mbalimbali serikalini

READ MORE