The House of Favourite Newspapers
gunners X

Mzungu Aiweka Kiporo Yanga

Lechantre, raia wa Ufaransa, ameiweka Yanga kiporo baada ya kusema kuwa, mechi hiyo itakuja kuamua bingwa wa ligi kuu msimu huu kama wote wawili watavuka salama mechi za hapa kati. Simba na Yanga ambazo zinatarajiwa kupambana Aprili 29,…

Sakata la Wambura Yafikia Patamu

RUFAA ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, sasa imefikia patamu baada ya juzi Jumamosi kusikilizwa katika makao makuu ya shirikisho hilo, Karume jijini Dar es Salaam na hivi sasa watu…