×

Chameleon, Nyashinski, King Kiba Unyama Mwingi, Wafunika Mbaya Serengeti Lite Oktoba Fest

Dar es Salaam 22 Oktoba 2023: Wasanii kutoka Afrika Mashariki, akiwemo Ali kiba, kutoka Tanzania, Nyashinski, kutoka Kenya na Jose...

READ MORE

Ota Utajiri Pekee Ukibashiri Na Meridianbet Pekee

Mteja wa Meridianbet kama jana hukufanikiwa kukusanya maokoto ya ulipobashiri na meridianbet basi leo ndio siku yako ukitulia kwa makini...

READ MORE

Wasanii wa Tanzania, Kenya na Uganda Wakutanishwa Kwenye Jukwaa Coco Beach

Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, Serengeti Lite Oktobafest ilileta pamoja vipaji vya muziki na ubunifu wa hali ya juu...

READ MORE

Makonda Aula Tena, Achaguliwa Kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM

Halmashauri Kuu ya CCM iliyokutana leo Oktoba 22, 2023 jijini Dodoma, imemteua Paul Makonda kuwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya...

READ MORE

Baada ya Sophia Mjema, Nani Atateuliwa Kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM?

Rais Samia Suluhu Hassan leo, Oktoba 22, 2023, amemteua Sophia Mjema kuwa mshauri wa rais wa masuala ya wanawake na...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada Tabata Visiwani

Meridianbet wameendeleza utaratibu wao wa kuhakikisha wanarudisha kwa jamii yake inayowazunguka ambapo leo wamefanikiwa kutia mguu maeneo ya Tabata Visiwani...

READ MORE

Kihenzile Akagua Utekelezaji Maagizo ya Makamu wa Rais Tanga

Naibu waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara mkoani Tanga kukagua utekelezaji wa maagiza aliyoyatoa  Makamu wa Rais Dkt. Philip...

READ MORE

Shule ya St Mary’s Yajizatiti Kuibua Vipaji vya Michezo Shuleni

        Shule ya Msingi na Sekondari St. Marys Mbezi Beach imesema imejenga viwanja vya michezo shuleni hapo...

READ MORE

Kumekucha, Kilimanjaro International Marathon 2024 Ilivyozinduliwa Rasmi Jijini Dar

Toleo la 22 la Mbio za za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2024 limezinduliwa rasmi jana Ijumaa, kwenye Hoteli ya...

READ MORE

Katibu Mkuu Msigwa Afunguka Baada Ya Simba Kutoka Sare Dhidi Ya Al Ahly “Hauna goli la Mama’ – Video

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa ameeleza kuwa mchezo wa Simba dhidi ya Al Ahly...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Avinadi Vivutio Vya Uwekezaji Italia

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewakaribisha wawekezaji na wafanyabiashara wa nchini Italia kuja Tanzania kuwekeza katika ujenzi wa viwanda vya kuzalisha...

READ MORE

Ahmed Ally: Simba Itapata Ushindi Ugenini na Kuitapisha Damu Al Ahly – Video

Msemaji wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally amesema licha ya Simba kutoa sare dhidi ya Al Ahly ya Misri ya...

READ MORE

Habari Kubwa Za Magazeti Ya Tanzania Leo Jumamosi, Oktoba 21, 2023

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Oktoba 21, 2023 CHOTA MAPENE ndiyo...

READ MORE

Waziri Mkuu Atembelea Shamba La Kisasa La Mifugo Milan nchini Italia

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea shamba la ufugaji wa ng’ombe wa maziwa la Alesandra lilipo Milan nchini Italia, ambalo linaendeshwa...

READ MORE

Ujanja ni Sloti ya Book of Eskimo usikose bahati hii

Kupanga ni kuchagua, chagua kuwa mshindi kila siku kupitia kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, kila siku kuna bonasi kibasi na...

READ MORE

Silinde Afanya Ziara Makao Makuu ya SBL Kujadili Fursa za Kukuza Kilimo

Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde amefanya ziara katika makao makuu ya Kampuni wa Serengeti Breweries Limited (SBL) kwa lengo...

READ MORE

Wewe Ndiye Tajiri Wa Wikendi Hii Ukibashiri Na Meridianbet

Kama bado unajiuliza wapi wikendi hii utapata pesa ya kujibwada na mimi nakuambia hivi ni Meridianbet pekee ambapo unaweza ukabishiri...

READ MORE

Rc Chalamila: Moto Wa Kariakoo Ulikuwa Ni Hujuma Za Wafanyabiashara Wenyewe Sio Ajali -Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, ametoa kauli hiyo wakati akiwasilisha Taarifa ya Kamati iliyoundwa kwaajili ya...

READ MORE

Rais Samia Akutana na Rais wa Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Ikulu Dodoma

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya  mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Soka Barani...

READ MORE

Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA Watua Tanzania

Kocha wa zamani wa Arsenal, Arsene Wenger na Mwamuzi Mstaafu wa FIFA, Pierluigi Collina, ni miongoni mwa Wajumbe walioambatana na...

READ MORE