The House of Favourite Newspapers
gunners X

True Memories Of My life

Wiki iliyopita niliishia pale nilipokuwa nikielezea namna nilivyojisikia furaha kwa mara nyingine tena nilimfanya mwanadamu mwenzangu aliyekuwa akiteseka acheke. SASA ENDELEA... Hauhitaji kuwa mwanasiasa, tajiri au mtu mwenye cheo na…

Wabunge

Mgombea Ubunge wa CUF jimbo la Tandaimba mkoani Mtwara Ahmed Katani Katani ametangazwa  mshindi mshindi wa jimbo hilo. Mgombea Ubunge kupitia CCM katika jimbo la Mbinga Mjini Sixtus Mapunda ameshinda na kutangazwa rasmi kuwa mbunge wa…

Azam yakiri Yanga kiboko

Said Ally, Dar es Salaam INGAWA kikosi cha Azam kinaongoza katika msimamo wa ligi kuu kikiwa na pointi 25, kocha mkuu wa timu hiyo, Muingereza, Stewart Hall, ametamka kuwa hawezi kutamba kwa kukaa katika nafasi hiyo kwa sasa kutokana na…

Mambo yanayofurahisha faragha-2

KWANZA nianze kwa kuwashukuru wafuasi na wasio wafuasi wa vyama vya siasa nchini kwa kumaliza uchaguzi mkuu kwa amani. Kwa uchaguzi huu nimejifunza kitu kuwa kumbe Watanzania tunu yetu kubwa tuliyojaliwa na Mungu ni amani, amani ndiyo…