×

Mwili wa Malkia Elizabeth II Kuagwa kwa Siku Nne Katika Ukumbi wa Westminister -Video

MWILI wa Malkia Elizabeth II  utasafirishwa kutoka Kasri la Buckingham kwa msafara utakaokuwa ukiendeshwa polepole wakiambatana na gwaride la kijeshi...

READ MORE

Waziri Mkuu Awawashia Moto Wasimamizi wa Chuo cha Ufundi Mkoa wa Tabora

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Tabora, Musa...

READ MORE

Mashabiki Wa Manchester United Wakasirishwa na Kiwango cha Casemiro Kwenye Mchezo Dhidi ya Real Sociedad

MASHABIKI wa Manchester United wakasirishwa na kiwango cha kiungo wao mkabaji Casemiro ambae alionesha kiwango duni siku ya jana katika...

READ MORE

Hii Hapa List ya Makocha wa Tanzania Wenye CAF A Diploma na Zinazofanana (Equivalent) na CAF A

Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) ya Makocha wenye CAF A Diploma na zinazofanana (Equivalent) na CAF...

READ MORE

Usiyoyajua Kuhusu Umalkia na Ufalme wa Uingereza, Soma Hapa

Malkia Elizabeth wa Pili. Septemba 8, 2022 mtawala wa dola ya Uingereza, vyombo vingi vya Habari viliripoti kifo cha Malkia...

READ MORE

Mkongo wa Kituo cha Pili Africa Kuifanya Tanzania Kuwa Kitovu Cha Muunganisho Afrika Mashariki Na Kati

Tanzania itakuwa kitovu cha maunganisho wa mawasiliano Afrika Mashariki na Kati kufuatia uwepo wa mkongo wa mawasiliano wa 2 Afrika...

READ MORE

Waziri Mkuu Liz Truss Amtangaza King Charles III Kuwa Mtawala Mpya wa Nchi ya Uingereza

Kufuatia kifo cha mtawala wa Uingereza Malkia Elizabeth II, Waziri Mkuu wa nchi hiyo amemtangaza Mrithi wa nafasi ya kiutawala...

READ MORE

Habari Kubwa za Magazeti ya Tanzania Leo Ijumaa, Septemba 9, 2022

HAPA tumekusogezea kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo Septemba 9 , 2022 Usipitwe na...

READ MORE

Nunua na Soma Gazeti la Championi na Ijumaa kirahisi zaidi hapa

Pata nakala yako ya Gazeti la Championi na Ijumaa leo Sep-09, Kwa nusu bei tu 👇 Twende APUNI 👇 iOS...

READ MORE

Matibabu ya (HRT) Baada ya Kukoma Hedhi Kuuzwa Madukani Nchini Uingereza

WANAWAKE wanaopata ukavu sehemu za viungo vya uzazi kutokana na kukoma hedhi sasa wanaweza kununua dawa madukani nchini Uingereza.  ...

READ MORE

Zion Clark: Mwanaume Asiye Na Miguu Aliyeweka Rekodi Ya Kutembea Kwa Kasi Zaidi Duniani

Zion Clark   Watu wengi huamini kwamba mtoto akizaliwa na ulemavu, basi hawezi kuwa na uwezo wowote wa kufanya mambo...

READ MORE

Malkia Elizabeth II wa Uingereza Afariki Akiwa na Umri wa Miaka 96 – Video

Malkia Elizabeth wa pili wa Uingereza amefariki akiwa na umri wa miaka 96 kwenye makazi yake huko Scotland. Alikuwa ni...

READ MORE

Malkia wa Uingereza Elizabeth II Chini ya Uangalizi wa Matibabu Huko Balmoral

Taarifa iliyotoka leo Septemba 8, 2022 kutoka Kasri la Buckingham imesema Malkia wa Uingereza Elizabeth II yupo chini ya uangalizi...

READ MORE

Rais Samia Ahutubia Kwenye Maadhimisho ya Miaka 10 ya Chuo cha NDC, Kunduchi Dar

  RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan amehutubia kwenye Maadhimisho ya miaka...

READ MORE

Umoja wa Mataifa Umebaini Kuwa Umri, Elimu na Mapato Kushuka

KATIKA muda wa kipindi cha miaka miwili iliyopita, nchi tisa kati ya nchi kumi zimerudi nyuma kwenye Fahirisi ya Maendeleo...

READ MORE

Aliyeshangilia Odinga Kushindwa Urais Achukuliwa Hatua za Kinidhamu

CLIFF ONRICHI ameonekana kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii akishangilia kwa furaha Raila Odinga kushindwa urais nchini Kenya.   Kutokana na...

READ MORE

Baada ya Kufikia Makubaliano, Graham Potter Akubali Kuinoa Chelsea

  MMILIKI wa Chelsea Todd Boehly alikutana na Potter katikati mwa London Jumatano alasiri kwa kile kilichoelezwa kuwa “mazungumzo chanya”...

READ MORE

Makazi ya Raia wa Ukraine Yaliyokua Chini ya Urusi Yarejeshwa, Rais Zelensky apongeza

UVUMI umeenea kwa siku kadhaa juu ya uwezekano wa mafanikio katika eneo la mashariki la Kharkiv, lakini bila neno kutoka...

READ MORE

Chanjo Mpya ya Malaria Yaweza Kupunguza Vifo kwa Asilimia 70% Ifikapo 2030

MTENGENEZAJI mkubwa zaidi wa chanjo duniani, Taasisi ya Serum ya India, imekubali kutengeneza dozi milioni 200 kwa mwaka.   Chanjo...

READ MORE

Tuchel Aliwakataa Wababe Wawili wa Ulaya Msimu Uliopita Kusalia Chelsea

CHELSEA ilimtimua kocha wao mkuu Mjerumani Thomas Tuchel hapo jana. Huku baada ya akifukuzwa, kuna ripoti kwamba alikataa nafasi mbili...

READ MORE