×

Senegal Yatwaa Ubingwa, Sadio Mané Aibuka Mchezaji Bora

Mchezaji wa klabu ya Al Nassr na timu ya Taifa ya Senegal, Sadio Mané, ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa...

READ MORE

Zambia Yadhibiti Matumizi ya Dola, Kwacha Yapaa Afrika

Kwa sasa, Kwacha ya Zambia inatajwa kuwa miongoni mwa sarafu zinazofanya vizuri zaidi barani Afrika dhidi ya Dola ya Marekani,...

READ MORE

Kwagilwa Atoa Siku 30 Kukamilisha Ujenzi Wa Shule Ya Sekondari

Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI anayeshughulikia Elimu, Reuben Kwagilwa (Mb), ametoa muda wa mwezi mmoja kwa...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Januari 19, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza hapa Publishers...

READ MORE

Waangalizi wa EAC Waipongeza Uganda kwa Uchaguzi wa Amani

Ujumbe wa Waangalizi wa Uchaguzi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeipongeza Serikali na wananchi wa Uganda kwa kuendesha Uchaguzi...

READ MORE

Prof. Shemdoe Aishukuru Nmb Kwa Kutoa Msaada wa Vifaa Tiba Na Vya Elimu Lushoto

  Mbunge wa Jimbo la Lushoto, Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, ameishukuru Bank ya NMB kwa kutoa mchango wa vifaa tiba...

READ MORE

Simba Washikwa Shati na Mtibwa Sugar

Na Bakari Mahundu Dakika 90 za mchezo wa kukatana shoka kati ya Simba SC na Mtibwa Sugar zimekamilika kwenye Uwanja...

READ MORE

Kipa wa Taifa Stars Hussein Masalanga Atua Yanga

Klabu Yanga leo Jumapili, Januari 18, 2026 imetangaza kukamilisha usajili wa kipa Hussein Masalanga akitokea klabu ya Singida Black Stars....

READ MORE

Prof. Shemdoe Akemea Tabia ya Wananchi Kutupa Takataka Kwenye Barabara za Manispaa ya Morogoro

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amekemea...

READ MORE

Mwili wa Marehemu Halima Nassor Ulivyofikishwa Nyumbani Kwake, Kigamboni

Na Bakari H. Mahundu Mwili wa Marehemu Halima Idd Nassor ulivyofikishwa nyumbani kwake Kibada, Kigamboni Dar es Salaam kwaajili ya dua maalumu nyumbani hapo kabla…

READ MORE

Dkt. Mwigulu: Serikali Itaendelea Kushirikiana Na Viongozi Wa Dini

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 18, 2026 ameshiriki Ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu Anglikana la Roho Mtakatifu...

READ MORE

Chuo cha DUCE Chatangaza Nafasi Mbalimbali za Ajira Januari 2026

Chuo Kikuu cha Elimu cha Dar es Salaam (DUCE), ambacho ni Chuo Kishiriki cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,...

READ MORE

Rais Samia Atoa Pole kwa Familia ya Mbunge Halima Nassor, Maziko Kufanyika Leo Kigamboni

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za rambirambi kwa Spika wa Bunge la Jamhuri...

READ MORE

Saleh Jembe Afichua Siri Ya Kibabage, Awashangaa Singida Kudanganya – Video

  Mchambuzi mkongwe wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa Kibabage alivyotoka Yanga alitaka kwenda Klabu ya Simba.

READ MORE

CAF Yafuta Michuano ya CHAN, Mabadiliko Makubwa Yatarajiwa Afrika

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limetangaza rasmi kufutwa kwa Michuano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN),...

READ MORE

Mbunge wa Viti Maalum, Halima Idd Nassor, Afariki – Video

Mbunge wa Viti Maalum Halima Idd Nassor (46) amefariki dunia leo Januari 18, 2026 akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo...

READ MORE

Absa Bank Tanzania Yafunga Kampeni Ya ‘Ujanja Ni Kuswipe Na Kadi Ya Absa’ Kwa Droo Ya Mwisho Na Kutangazwa Kwa Mshindi Wa Zawadi Kuu

Benki ya  Absa Tanzania leo imehitimisha rasmi kampeni yake ya ‘Ujanja ni Kuswipe na Kadi ya Absa’ iliyodumu Kwa miezi...

READ MORE

Nai Avunja Ukimya Kuhusu Tetesi Zake na Pacome Zouzoua – Video

Baada ya tetesi kusambaa kwa muda mrefu mitandaoni zikimhusisha mwanadada @officiall_nai na staa wa Yanga SC, Pacome Zouzoua, hatimaye mwenyewe...

READ MORE

Prof. Mdoe; Jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Likamilike Julai 2026

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM–TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amemuelekeza...

READ MORE

Maisha ni Mazuri Ukibashiri na Meridianbet Leo

Jumapili hii imekuwa nzuri sana kwa wale wanaotumia Meridianbet kufanya ubashiri kwani timu za ushindi zipo hapa leo. ODDS KUBWA...

READ MORE