The House of Favourite Newspapers

Part 2: Abdi Banda Afunguka Kuvunjika Kwa Ndoa Yake Na Zabibu Kiba -Migogoro Ya Mapenzi Na Maisha Ya Mbali.

0

Baada ya kukiri kuwa ndoa yake na Zabibu Kiba (dada wa Alikiba), imevunjika, Global TV imembana Abdi Banda kuweka wazi chanzo cha ndoa hiyo kuvunjika.

Madai ya awali yalikuwa ni kwamba ndoa hiyo imevunjika baada ya Banda kuchepuka na msanii wa Bongo Movie, huku taarifa nyingine zikieleza kuwa alichepuka na mhudumu wa afya.

Banda amefunguka kila kitu kuhusu madai hayo ambapo unaweza kufuatilia mahojiano kamili kwenye sehemu ya tatu ambayo tayari ipo Youtube, Global TV.

Leave A Reply