The House of Favourite Newspapers

Makamu Wa Rais Mpango Ahudhuria Ibada Ya Pasaka

0

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango, amezungumza na Waumini wa Dini ya Kikristo na Watanzania  katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika leo April 04, 2021 katika Kanisa Kuu Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.

 

Leave A Reply