The House of Favourite Newspapers

TCRA: Vifurushi Vinaweza Kutumia Siku Nne Kurejea

0
MENEJA wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA, James Kilaba amesema vifurushi vilivyokuwa vinatumika awali vinaweza kutumia hadi siku nne kurejea.
 
Amesema hata walipofanya mabadiliko ya bei zilizotakiwa kutumika Kampuni za Mawasiano zilipewa muda wa kufanya mabadiliko, hivyo hata kuvirudisha inachukua muda.
 
TCRA ilisitisha matumizi ya bei mpya za data Aprili 2, baada ya wananchi kulalamikia kupanda kwa bei za vifurushi vya data.

Leave A Reply